Vocal Fremitus
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 1,287
- 6,648
SureNi fantasies tu.. Hakuna faida yoyote ila mtu anakua na ile furaha ndani yake kutokana na kufatiliwa mno kupitia threads za vituko anazoweka hata kama atakua na anonymous ID.. It's a personality thing! Kuna bwana mmoja alishawekaga humu uzi unaozungumzia personality mbali mbali nadhani nikiuona ntauibua kwa faida ya wengine.