Vocal Fremitus
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 1,287
- 6,648
SureNi fantasies tu.. Hakuna faida yoyote ila mtu anakua na ile furaha ndani yake kutokana na kufatiliwa mno kupitia threads za vituko anazoweka hata kama atakua na anonymous ID.. It's a personality thing! Kuna bwana mmoja alishawekaga humu uzi unaozungumzia personality mbali mbali nadhani nikiuona ntauibua kwa faida ya wengine.
SafiiiNi fantasies tu.. Hakuna faida yoyote ila mtu anakua na ile furaha ndani yake kutokana na kufatiliwa mno kupitia threads za vituko anazoweka hata kama atakua na anonymous ID.. It's a personality thing! Kuna bwana mmoja alishawekaga humu uzi unaozungumzia personality mbali mbali nadhani nikiuona ntauibua kwa faida ya wengine.
Ok, upo huru kuwaza chochote!Pole kwa maisha ya stress, Bora utafute suluhisho la matatizo yako kuliko kuanzisha nyuzi kama hizi kwa lengo la kupata furaha
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mleta mada natumae ulipata miongozo...
[emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Anakujaza tu, huyo muuza nyama kama wengine, hakuna msomi hapo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]labda udaktari wa sheria[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] khaaaahHapana ni mwanachuo wa udaktari pale Mlimani. Hajanidanganya, na yupo na rafiki yake. Wote wasomi.
Kinyamkela nini maana yake?Hiyo outfit sijui kuvaa ila duh! hapana mzee, Jamaa kweli janja janja, koti ka suti na mzura plus track niko confused asee nani anavaa hivyo.
PS hiyo ID yake maana ake ndio hahaha, kinyamkela ndio zile evil entity
Sina uhakika ila nahis ni Mizimu according kwa iman ya watu wa pwaniKinyamkela nini maana yake?