Elections 2010 Wana JF Tumeiangusha CHADEMA, tumewaangusha watanzania, tumemsaliti Dr Slaa

Hebu nipeni tathmini ya malipo pamoja na marupurupu ya diwani nione kama naweza shawishika kushiriki, nipo kikazi zaidi :wave: ........................
 
Jamaaunahoja dhaifu wewe! kwanza wewe fisadi tuuu huna lolote!
 
mm naona jf imefannya kila jitihada kukiw eka chadema mahali kilipo dont blame them,just suggest newest strategies,it will help.
 
wanaJF wanashabikia CHADEMA kwenye komputa bila kuhiriki vilivyo kwenye mchakato. Hata angalau kwa kujitolea kuwa wakala kwenye vituo badala yake mmewaachia malumpeni wanaonunulika kirahisi walinde kura zenu! Tuulizane kabisa ulishiriki vipi kuleta ukombozi? Ulikuwa mgombea, wakala au utalamu wako ulitumika vipi na wapi kuhakikisha kura hazichakachuliwi? Tusipende sana kushangilia ushindi ambao hatukuhusika sana kuuleta.
Tatizo ni kwamba JF hatuulizani CV zetu hivyo ni vigumu kujibu hoja ya kila mmoja wetu. Tungekuwa tunajuana vilivyo tungegundua anayesema kuna udini CHADEMA ana elimu na ufahamu duni sana na wanaomjibu wamepoteza muda maana WAKATI tu ndio utakaomjibu kuwa hajui asemalo! NAMI NATANGAZA RASMI NIA JIMBO LA SUMVE 2015 WATACHAKACHUA HAWATAWEZA.
 

i love it, 2015 tuweke wagombea makini majimbo yote... hadi sasa nimepata vijana 20 walioniunga mkono na wote watakuwa kwenye mchakato 2015

tunajipanga kuanzisha mchakato, training za kutosha na fundrising

muda utakapofika tutaweka matangazo hapa ya namna ya kuwasiliana na kubadilishana uzoefu lakini pia kujiandaa. 2015 is just next door
 
Wana JF tulitakiwa kushiriki kikamilifu zoezi la uhamasishaji na hatimaye upigaji kura kuanzia kwetu na familia zetu badala ya kubaki kwenye computure na simu zetu kupiga story za uchaguzi!! Kama unajijua kuwa hukupiga kura na hukuwa na sababu za msingi, bora ukaacha kupiga domo hapa kuhusu swala zima la uchzguzi!!!!
 
na nec nayo mmesha ifanyia mkakati maana kama hamta ifanyia mkakati mambo yatakuwa ni yaleyale yakulala vituoni siku3 kulazimisha tume ccm itangaze kuwa tumeshinda majimbo hayo!!

mnajua ninacho maanisha.
 
Kaka nakuunga mkono katika hili,tutakutana jimboni.:smile-big:
 

Mkuu mawazo mazuri sana haya katika kubadilishana uzoefu waweza pia kuwaita katika training zenu wale ambao tayari ni wabunge mfano mnyika, zito, mdee n.k ili kupa uzoefi wao pia ninaamini kabisa mipango mizuri waweza mng'oa lukuvi 2015
 
Naunga mkono hoja ni kweli nguvu ya ziada inahitajika kila mahali natangaza nia kugombea udiwani 2015 huku kwetu iringa mgololo tujue moja sasa!!!
 
Hebu nipeni tathmini ya malipo pamoja na marupurupu ya diwani nione kama naweza shawishika kushiriki, nipo kikazi zaidi :wave: ........................

:smile-big::smile-big:

Hapana upo kimaslahi zaidi................hii kazi ya kuwakilisha wananchi haikufai!
 
mimi ni muislamu swafiii lakini sijaona chembechembe za udini chadema, nitagombea ubunge isimani iringa ntaona kama chama kitanikataa sababu ya dini yangu.

Ebana swafi swana, utakuwa umenisaidia sana, maana was thinkin who gona challenge/ take off this LUkuuvi sijui kule..!
 
hujui unachoongea wewe. bora unyamaze tu. mtoa mada kaeleza vizuri sana sasa wewe sijuini lipi huelewi
 
Binafsi najipanga kupambana na Idd Azzan Kinondoni.Naamini 2015 hakuna cha zaidi ni Peopleeeeeeeeeeeeeeeeeez poweeeeeeer
 

Mkuu kwanza ningependa kukuweka sawa kuwa JF is not a branch of CHADEMA, tupo watu wengi ambao ni open minded and independent not affiliated with any party but we support any party which shows seriousness on solving our country's problems. Kwa hiyo heading na post yako inaonesha kana kwamba wana JF ni wana CHADEMA lekebisha hapo kwanza na utoe sababu nyingine kabisa japo zinaweza kuwa zilezile lakini exclude wana JF.
 
Umenena. Lakini tuzidi kuwasiliana na kuwaelimisha ndugu zetu waishio vijijini na kujenga hoja za kwanini CCM inahitaji kupumzika na kwamba mzigo wa kuongoza watanzania CCM imeshachoka.
 

Its good! The same message goes to CCM
 
Muumini wa CHADEMA au CCM extremist wote kwangu siwaungi mkono... nataka mtu anayeweka Utanzania mbele I don't care yupi aunde serikali provided kuwe na strong watching dog... CCM eventually kitakuwa chama cha upinzani lakini hapo hapatakuwa mwisho wa Tanzania au suluhisho la kila kitu bali wakati kutakuwa na changamoto zingine. Thus why I only believe in 40% opposition and 60% rulling part regardless of the party ... nchi itaenda mbele.
 
Ama kweli huku ndo kumtafuta mchawi nani? Ungejua Jf ilivoongeza kura usingeweka thread yako kwa mtindo huu. Juzi nimekwenda Udsm pale nkakuta vijana wanafanya registration,wakawa wanataman sana Jf na wakaomba niwaelekeze jinsi ya kujiunga wakidai kuwa jf imewafumbua macho ila uwa wanaingia kama visitors so wanataka membership. Nkawaelekeza wengi,so tegemea mawazo mapya hapa jamvini kutoka kwa vijana. Wengi waliniambia walikuwj kwenye mtandao wa wanazuoni sasa wanakuja rasmi Jf kwa Wasomi wa ukweli. Kwa ili najua JF imesaidia kutoa mchango kwenye ujenzi wa taifa,taifa jipya analolijenga dr.SLAA na Chadema kwa ujumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…