Elections 2010 Wana JF Tumeiangusha CHADEMA, tumewaangusha watanzania, tumemsaliti Dr Slaa

Ili tuungane inabidi Chadema kwanza wajitoe katika sera za udini,ukabila na ujimbo ndio tuanza mapambano ya kweli kuing'oa ccm.
Mbwa huwa analamba maji au anakunywa maji?
 
Ili tuungane inabidi Chadema kwanza wajitoe katika sera za udini,ukabila na ujimbo ndio tuanza mapambano ya kweli kuing'oa ccm.

Sawa kabisa mkuu, ccm is boaring but chadema watazidi ikiwa hawatafuata ushauri wako ambao umeutoa kwa gharama yako
 
Ili tuungane inabidi Chadema kwanza wajitoe katika sera za udini,ukabila na ujimbo ndio tuanza mapambano ya kweli kuing'oa ccm.

Udini: Kusema Chadema ni wadini ni kuwasingizia tu. CCM ndiyo wadini Namba 1

Ukabila: Wewe utakuwa mwehu tu. Wabunge wa Chadema wa sasa wanajibu hoja yako ya kijinga

Ujimbo: USA ambako wanafanya utawala wa majimbo umewazidi nini na nchi yako ya kifisadi.

Nimekusonya (sema tu hujasikia)
 
chadema mbali ya kufanyiwa ibada maalum makanisani imesababisha mpaka makanisa kufungwa siku ya uchaguzi ili waumini wakapige kura za chuki dhidi ya wagombea urais wenye majina yanayofanana na dini fulani!!!
Acha umbea wewe mtoto[/QUOTE]

chadema mbali ya kufanyiwa ibada maalum makanisani imesababisha mpaka makanisa kufungwa siku ya uchaguzi ili waumini wakapige kura za chuki dhidi ya wagombea urais wenye majina yanayofanana na dini fulani!!!
acha umbea wewe mtoto

[/quote]
kwa mtizamo wangu pia slaa kumchagua mgombea mwenza mbumbumbu ilikuwa ni dharau kwa wazanzibari na waislamu kwa ujumla. Upande wa pili giza totoro. Na hii si ishara nzuri kwa chama. Niliwahi kuamshwa usiku twende kanisani na ajenda kuu ilikuwa kupigia kura chadema. Ati dr. Slaa ndiye atakeyewatoa wana kondoo utumwani. Alaaaaaaaaaa kuuuuuuuumbe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Nchi hii sio yetu sooooooote???????????????? Ebo?
 
[/quote]
kwa mtizamo wangu pia slaa kumchagua mgombea mwenza mbumbumbu ilikuwa ni dharau kwa wazanzibari na waislamu kwa ujumla. Upande wa pili giza totoro. Na hii si ishara nzuri kwa chama. Niliwahi kuamshwa usiku twende kanisani na ajenda kuu ilikuwa kupigia kura chadema. Ati dr. Slaa ndiye atakeyewatoa wana kondoo utumwani. Alaaaaaaaaaa kuuuuuuuumbe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! !!!!!!
Nchi hii sio yetu sooooooote???????????????? Ebo?
 
Wewe Mbea umekula maharage ya CCM unakuja kutuchafulia hewa kwenye jamvi letu, watu wame amka sasa, Tanzania ya sasa tofauti na ya 2005, na bado ya 2015 ndo utatamani uhame nchi itakuwa balaa! Zamani viongozi wa dini walikuwa wanawasikiliza sana na kufuata ,maagizo viongozi wa kisiasa ya kuwahubiria waumini wao watafute ufalme wa mbinguni tu haya ya duniani yanapita! Wamekuja kugundua ghilba zao kwa sababu waumini na nchi kwa ujumla inakuwa masikini huku viongozi wa kisiasa wakitajirika kwa muda mfupi! Wamegundua rasilimali za nchi Mungu aliziweka makusudi katika nchi husika ili ziwasaidie wananchi wote! Lakini inakuwa wachache ndo wanao faidika!

Wameamua kubadili staili mfumo wa mahubiri toka ule wa kikoloni na kuwa wa kisasa-kila muumini anawajibika kikamilifu kwenye shughuli za kitetea, kuilinda na kuijenga nchi yake! Hivyo viongozi wa dini kuruhusu waumini wakapige kura siku ya jumapili siyo dhambi. Ujinga wa kuhusisha alama (+) plus na dini ni upumbavu wa hali ya chini sana, na inaonesha ni kiwango kidogo kiasi gani ulicho nacho cha uelewa, kwa hili sina comment kwa sababu uelewa mdogo ulionao.
 
CCM nguli tutakuwa tumekufaaaa? ngoja bomu lenu spika lilipuke ndo mtajua pipoooooooozzzzzzzzzzzz au mazezeeeeeetaaaaaaaaaaaaaaa
 
kwa mtizamo wangu pia slaa kumchagua mgombea mwenza mbumbumbu ilikuwa ni dharau kwa wazanzibari na waislamu kwa ujumla. Upande wa pili giza totoro. Na hii si ishara nzuri kwa chama. Niliwahi kuamshwa usiku twende kanisani na ajenda kuu ilikuwa kupigia kura chadema. Ati dr. Slaa ndiye atakeyewatoa wana kondoo utumwani. Alaaaaaaaaaa kuuuuuuuumbe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! !!!!!!
Nchi hii sio yetu sooooooote???????????????? Ebo?
[/QUOTE]

pole kwa kukatishwa usingiziiiiiiii muongo wa sera afa kesho...... watabaki watanzania wa ukweli wanaojali maslahi ya watanzania na sera za kutekelezeka
 
CHADEMA ni zaidi ya ukabila, ufamilia kabisa, vijana wanapatikana katika familia moja, Rozi kamili, Christina Lisu ............. huu si ufamiliaaaaaaa au Wana JF ambapo mi si mmoja wenu kama ni tawi la CHADEMA, CCM daima
....................................
 
Ni bora mkawa wakweli kuliko kuendelea kubisha na kudai kuwa chadema iliibiwa kura, wenyewe wanasema ccm imechakachua matokeo. Mkijipanga upya na mkaeneza matawi ya chama chenu hadi vijijini (remote areas) mnaweza mkashinda, mking'ang'ani mijini itaendelea kula kwenu kila uchaguzi
 
ni kweli kabisa ni lazima tujipange sawasawa kuondoa hali hii
 
sijawahi kuipa kura ccm na kamwe sitofanya hivyo. chadema ni chama mbadala kama alivyotabiri mwalimu Nyerere:nono::smile-big:
 
ili tuungane inabidi chadema kwanza wajitoe katika sera za udini,ukabila na ujimbo ndio tuanza mapambano ya kweli kuing'oa ccm.

naomba nifafanulie juu ya udini au ukabila wa chadema uko wapi au ni mazingira gani yanayokuonyesha kuwa kuna udini? Au kwa vile dr slaa alikuwa padre.huwezi ukasema kuna udini au ukabila kama wewe si mdini?
 
huo si udini ni uzalendo na akuwaambia waumini wakamchague slaa .kakobe anaelewa wajibu wa kuchagua kiongozi maana hata vitabu vitakatifu vimeandika kuhusu mamlaka hivyo kakobe alitumia uzalendo na anajua kabisa wanachichiem walipanga muda mfupi ili watu washindwe kupiga kura makanisa mengi ibada zao zinaisha saa nane na hili kabobe aliliona .kwanini wasingepanga kupiga kura cku ya ijumaa?
 
Ili tuungane inabidi Chadema kwanza wajitoe katika sera za udini,ukabila na ujimbo ndio tuanza mapambano ya kweli kuing'oa ccm.
Chadema hatuhitaji watu wenye element za ukabila, udini kama wewe. Lakini tunahitaji watu walio na focus ya ujimbo na uchungu wa maendeleo ya majimbo yao. Hata hivyo utaona sera ya majimbo ni ya ccm kwani wametenga majimbo kikabila na Kidini. Chadema inahitaji kuiboresha tu.
 
Akili yako na jina lako vinakwenda sambamba. Ndio maana unaweza kuandika crap hapa. Rudisha fahamu na ondoa umbea hapa.
 
Kisha upange foleni ya wakina January, Vita kawawa na mdogo wake wa kike, Sokoine, Mwinyi, Mkapa, Sita, etc etc............... kisha utuambie na hao ni wana chadema? Usijaribu kutupia nyumba yako ya vioo mawe!!!!!!!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…