ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 25,030
- 61,298
Amina.hakuna haja ya kukiwazaNipo mbele kamanda 'Kifo kipo kama Uhai'
Twende kamanda tufe.Amina.hakuna haja ya kukiwaza
Cha msingi tujiepushe na matatizo yanayoweza kupelekea tukio lisilotazamiwa kukutokea.yaani tuwe na maarifa ya kufanya timing..sio kwa sababu kipo Basi ndo tujiachie hapana
Kausha kwanza mpaka ma brother wetu watangulie kwanzaTwende kamanda tufe.
Jay Z hazeeki yule labda anyongwe.Kausha kwanza mpaka ma brother wetu watangulie kwanza
Wakina.
Ronaldo
Messi
Jay z
Eminem
Obama
N.k
Tuone kwanza wanakufaje ndo na sisi tuwafuate
Itakuwa Ni uzembe wa Hali ya juu yaani mtu kakuzidi miaka 25 na bado unamtanguliaJay Z hazeeki yule labda anyongwe.
Itakuwa Ni uzembe wa Hali ya juu yaani mtu kakuzidi miaka 25 na bado unamtangulia
Hii Ni kwa wale ambao hatuna hofu na kifo tunachojua Ni kwamba Kama Kuna uhai pia Kuna kutokuwepo kwa uhai.kwa hivyo tunafanya mema na tumeshamuona Mungu tayari na bahati nzuri hatujajiha attach na material za ulimwengu huu.tumewaachia utajiri wengine wanaotafuta pain
Tukutane hapa watu wa MUNGU wakazi wa MBINGUNI.
Siku ile nilifanya ujinga Sana nilikunywa POMBE kupitiliza bahati mbaya Sana nikaja kurudia ule mchezo na Tena ukaniletea matatizo makubwa sana...nimejifunza kwa KWELIKwa hiyo siku ile uliposhukuru Mungu kwa kukuepusha kifo ilikuwaje hatujasahau mjomba
Dah...msemakweli mpenzi wa Mungu... nimesoma mara 20...nimetoka kapa.... PLEASE msaada wataalam[emoji41]Hii Ni kwa wale ambao hatuna hofu na kifo tunachojua Ni kwamba Kama Kuna uhai pia Kuna kutokuwepo kwa uhai.kwa hivyo tunafanya mema na tumeshamuona Mungu tayari na bahati nzuri hatujajiha attach na material za ulimwengu huu.tumewaachia utajiri wengine wanaotafuta pain
Tukutane hapa watu wa MUNGU wakazi wa MBINGUNI.
ππππKausha kwanza mpaka ma brother wetu watangulie kwanza
Wakina.
Ronaldo
Messi
Jay z
Eminem
Obama
N.k
Tuone kwanza wanakufaje ndo na sisi tuwafuate