Wana-JF: Ujumbe Mzito Toka Serikali!

Status
Not open for further replies.
Mkumbuke kuna mamluki wa serikali wanafurahia hata this minute tunavyoendelea kugawanyika kimawazo hapa JF

Aluta continua!! Its time to give them the taste of their own medicine.
 
Kuna harufu ya uoga imeanza kusmell hapa, siku nyingine atakuja mtu hapa atasema jamani nimepata ujumbekutoka ikulu unasema tusitaje majina ya wakuu, siku nyingine tusitaje vyeo,n.k
Hapana, hii tunahitaji kuwa macho hasa. Tumesikia mengi sana kwa wakati mfupi kuwa kuna waandishi sasa wananunuliwa, tuweni macho na hawa na kila mmoja bila kujali umaarufu wa hoja zake hapa JF.
 


Masatu kumbe upo ? Unajua bwana mimi nakujua ulivyo kabisa na ukiwa umetaka ukata issue huwa najua huyu ndiye ninaye mjua katika uhalisia wake .Mimi naunagana nawe na nimesema kwamba hapa si salama kuna kitu.Sikubaliani na madai ya matusi maana hayajawahi kutolewa hapa .Kila tusi huwa tunalizima wenyewe .JK na CCM mjue kwamba from now ili kuwa na Kiongozi wa Tanzania hata kuwa mkuu wa Idara lazima Maadili yazingatiwe.Mnbaleta shida kwa kusema maadili ni mambo ya wazungu na Tanzania mtu akiwa mzinzi lakini ana uwezo wa kazi apewe tu.Ndiyo sasa nahoji kuna Balozi wetu mahali fulani hana mke wala mpenzi .Lakini ni balozi hamuoni matatizo haya anayo tuletea ? Je ukiwa huna nguvu za kiume unaweza kuwa Padre ? Nasema hapana na sasa kiongozi wa Tanzania namaadili baba .Akishindwa maadili JF tutakuwa naye .Sasa nataka kujua wewe Mh.Balozi nanihii huna mke wala mpenzi Ubalozi wa nini maana huu ni uongozi .Tutakupima kwa lipi ?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…