Wana JF upi ni muda mzuri haswaa?

Wana JF upi ni muda mzuri haswaa?

Bagenyi

Member
Joined
Jun 29, 2011
Posts
26
Reaction score
4
Mu wazima wanajf wenzangu. Nimekuwa naona watu wakibishana eti ni wakati gani wa kula malavilavi wakati wa usiku. Je, ni wakati wa kulala baada ya chakula, usiku wa manane au alfajiri na kibaridi kile? And why?

kwanza uko kwenye ndoa au
maana isije ikawa ni wa kuiba halafu unauliza muda
kama uko kwenye ndoa haya utapata maushauri ila any time is tea time

Mr. Rocky mambo?

walio wengi wezi ndo maana haya maswali yanazuka, mtu atamuulizaje muda wa kumdonoa?

Bro upo? Umepotea kweli mtu wangu! Huyu jamaa umemjibu vyema. inaonekana anaiba kwani mandhari ya swali lake tu linaonesha experience hakuna.

Bro nipo mkuu wangu we ndo umepotea sijui ulienda kunywa kiburu mndenyi
Ahh huyo anaiba bana huwezi kuuliza swali kama hilo kama una mtu wako umeshajihalalishia
Kila sehem kila muda upatapo nafasi jilie chako bana

Mr. Rocky mambo?

walio wengi wezi ndo maana haya maswali yanazuka, mtu atamuulizaje muda wa kumdonoa?

Mzima kaka issue niaje
wezi kabisa hasa maana wanatafuta majibu ya mu9da mzuri wa kula ili wawawahishe wezi wenzao

babaaa.... Hebu kuwa mtu mzma ile kitu haina muda zaid ya wewe upo kwny mudi baaaasi lakn khs muda sijawah kuona

Wakati wa kuanza kulala. Then usiku wa manane mzee akishtuka kwenye usingizi, halafu na ile asubuhi mnapoaamka.

jamani hii formular hata mimi niliadisiwa.

Vivian hapo kwenye red hapo mhhhh napata wasi wasi

Mu wazima wanajf wenzangu. Nimekuwa naona watu wakibishana eti ni wakati gani wa kula malavilavi wakati wa usiku. Je, ni wakati wa kulala baada ya chakula, usiku wa manane au alfajiri na kibaridi kile? And why?

Wakati muafaka ni kama ifuatavyo:-
• Alfajiri
• Asubuhi
• Mchana
• Alasiri
• Adhuhuri
• Jioni
• Magharibi
• Usiku
• Usiku wa manane
• Majogoo ya kwanza (haya huwa yanawika kuanzia saa tisa kasorobo mpaka kamili hapo)
Kwa ufupi wewe unachagua tu muda unaoona unafaa kwa kuzingatia mazingira unayoishi kisha unaendeleza mchakato wa uumbaji.

Wakati wa kuanza kulala. Then usiku wa manane mzee akishtuka kwenye usingizi, halafu na ile asubuhi mnapoaamka.

jamani hii formular hata mimi niliadisiwa.

Umefanya vyombo vyangu viamke fasta kama vile.......nawe

Ukiwa na njaa kula..

Osha mikono na usiibe cha mtu....

Back
Top Bottom