Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,199
<br />
<br />
mhandisi ukiona hivyo ujue ni fitna,kesi yetu tutafanyia terat lkn em niachie Fide nimuhost..
Weekend nzima unaenda Africafe
Hizo sehemu ni za kati kati ya week ambapo watu wana mawazo ya kazi za kesho yake
Kwanza kashageukia kwa Wiselady so hana tena habari na wewe kwa sasa
hiyo africafe vp sio pazuri sana nini?
Napigia hesabu nikitua tu iwe ndo sehemu yangu ya kwanza kusuuza koo
Umeniwekea maneno mdomoni kwangu, umetenda dhambi.
hiyo africafe vp sio pazuri sana nini?
Napigia hesabu nikitua tu iwe ndo sehemu yangu ya kwanza kusuuza koo
Pub Alberto nilikuwa naenda zamani kucheza pool this time hata sikutia maguu huko
Hahahahahaaa sa na wewe naye unashangazwa na kahawa?
unitafute pls nikupeleke soko letu la kimasai ngaramtoni kuna hadi sukari ya sh kumiwiki iliyopita nilipata bahati ya kutembelea arusha, pamoja na kwamba sikupata bahati ya kukutana na wana jf wa pale arusha nilifarijika sana kwa upendo wao hasa makaribisho yaliyoonyesha kwamba ni kweli wao wako beyond keyboards.bahati mbaya sana ratiba yangu ilikuwa imebana sana lakini naahidi kuja tena arusha kwa ajili ya wana jf wa huko. Shukrani za dhati kwa wote wale walionikaribisha na hata wale walionielekeza wapi pa kwenda nikiwa arusha.
Dah sio kama ulipotea kidizaini hivi! Ungenipeleka bhana but nikija tena i must go there si unajua uchumi umekuwa mgumu siku hizi so we go for cheapestunitafute pls nikupeleke soko letu la kimasai ngaramtoni kuna hadi sukari ya sh kumi
unitafute pls nikupeleke soko letu la kimasai ngaramtoni kuna hadi sukari ya sh kumi
Utakunywa kahawa mpaka kieleweke.
na kahawa
duh tutakukimbia mara moja
we waambie watu uko boogaloo au nicks pub au matongee watakuja mbio ila Africafe duih
walah tena na mikate inauzwa kwa mnada na muhindi? Ukitaka hata slesi moja unapata?duh sukari ya shs kumi
bebii kweli wewe mtata