Wana JF wa Arusha asanteni sana kwa upendo wenu

Wana JF wa Arusha asanteni sana kwa upendo wenu

<br />
<br />
mhandisi ukiona hivyo ujue ni fitna,kesi yetu tutafanyia terat lkn em niachie Fide nimuhost..

He is all yours, Fidel karibu Arachuga, ngoja niandike na maandishi meupe, siku ukija wasiliana na Wiselady direct, I hope hayajasomeka.
 
Ulitegemea kuona vitu kama valuer au konyagi au sehem kama Boogaloo au Nicks pub au matongee au maasai camp mkuu au pub alberto
Pub Alberto nilikuwa naenda zamani kucheza pool this time hata sikutia maguu huko
 
hiyo africafe vp sio pazuri sana nini?

Napigia hesabu nikitua tu iwe ndo sehemu yangu ya kwanza kusuuza koo

na kahawa
duh tutakukimbia mara moja
we waambie watu uko boogaloo au nicks pub au matongee watakuja mbio ila Africafe duih
 
wiki iliyopita nilipata bahati ya kutembelea arusha, pamoja na kwamba sikupata bahati ya kukutana na wana jf wa pale arusha nilifarijika sana kwa upendo wao hasa makaribisho yaliyoonyesha kwamba ni kweli wao wako beyond keyboards.bahati mbaya sana ratiba yangu ilikuwa imebana sana lakini naahidi kuja tena arusha kwa ajili ya wana jf wa huko. Shukrani za dhati kwa wote wale walionikaribisha na hata wale walionielekeza wapi pa kwenda nikiwa arusha.
unitafute pls nikupeleke soko letu la kimasai ngaramtoni kuna hadi sukari ya sh kumi
 
unitafute pls nikupeleke soko letu la kimasai ngaramtoni kuna hadi sukari ya sh kumi
Dah sio kama ulipotea kidizaini hivi! Ungenipeleka bhana but nikija tena i must go there si unajua uchumi umekuwa mgumu siku hizi so we go for cheapest
 
Kahawa ya kina Babu Aspirin mkuu, at least cocoa, lol!
Sa ningekunywa nini tena mama, maana niliwekewa muhuri wa kutotia alcohol ndani ya kinywa changu since i was born
 
Sasa wewe mkuu kwenda Africafe kule hawawezi watu kuja maana wengine wana alergy na kahawa
Hahahahaa lakini kuna juice pia na ice cream na keki na vitafunwa vingine
 
Back
Top Bottom