hata nusu slesi unapataKha we mwana umenichekesha mchana huu lol! hebu punguza visa. Eti ukitaka hata slesi moja unapata mwe
haya karibu wewe mwenyeweDah ziz mualiko bwana is tuu general tunaweza tukaishia kupata tu maji tu
Dah kuna tax pia bhana tena 3000 tu town trip
acha tu nikamnunulie slesi ya ishirini ngara,na utumbo wa kuku unga ltdBebii mbona wanakuvamia kama nyuki. Waambie nafasi zimejaa

acha tu nikamnunulie slesi ya ishirini ngara,na utumbo wa kuku unga ltd
miguu atahamia ale utumbo wa kuku kwanza

Hahahhahahahaha Bebii wacha hayo bana. Na miguu ya kuku ngarenaro h

miguu atahamia ale utumbo wa kuku kwanza
so anakuja lini eti? Ili nijiandae

hahhahahaha kabisa na unajua mtu anayekula miguu ya kuku
Yeah, buku tatu tu unapata usafiri kama zenji vile hakuna ku"bargain".
Arusha mko anga za mbali, hivi haya makaribisho mnayo "offer" kwa wageni wenu hayatavunja ngome nyingine?
Hivi hapo ARusha pana nini ...jamani naomba muande BBQ na mie mnikaribishe LOL ,
Preta ,PJ ,Nyamayao ..nasubiri mwaliko