Wana JF wa Arusha asanteni sana kwa upendo wenu

Wana JF wa Arusha asanteni sana kwa upendo wenu

Arusha mawingu jamani, ile buzuki sijaona
 
Dah kuna tax pia bhana tena 3000 tu town trip

Yeah, buku tatu tu unapata usafiri kama zenji vile hakuna ku"bargain".

Arusha mko anga za mbali, hivi haya makaribisho mnayo "offer" kwa wageni wenu hayatavunja ngome nyingine?
 
Yeah, buku tatu tu unapata usafiri kama zenji vile hakuna ku"bargain".

Arusha mko anga za mbali, hivi haya makaribisho mnayo "offer" kwa wageni wenu hayatavunja ngome nyingine?
HTML:

Kimsingi hatubagui na wala watuhitaji kuvunja, wanaivunja wenyewe maana kila tukijaribu kuwaleta pamoja, wanaishia kuleta visingizio viingi utadhani tunawaitia mikutano ya siasa.
 
Hivi hapo ARusha pana nini ...jamani naomba muande BBQ na mie mnikaribishe LOL ,
Preta ,PJ ,Nyamayao ..nasubiri mwaliko
 
Back
Top Bottom