Fidel80
JF-Expert Member
- May 3, 2008
- 21,947
- 4,470
Binamu wenyeji mbona tupo wengi tu hebu twende PM.
Kha mi nilifikiri haupo Town mawazo yangu upo Longido
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Binamu wenyeji mbona tupo wengi tu hebu twende PM.
Nimeshangazwa na kahawa.
Kha mi nilifikiri haupo Town mawazo yangu upo Longido
Nimeshangazwa na kahawa.
ha ha ha ha Binamu umeua kuna mtu nilikuwa sitaki ajue niko wapi sasa imekula kwangu dah.
Ulitegemea kuona vitu kama valuer au konyagi au sehem kama Boogaloo au Nicks pub au matongee au maasai camp mkuu au pub alberto
Ndo hivyo nikawa nahesabu hapo sina mwenyeji kabisaaa na yule binamu mwingine najua anaishi karibu na Loliondo

Ndo hivyo nikawa nahesabu hapo sina mwenyeji kabisaaa na yule binamu mwingine najua anaishi karibu na Loliondo
Si ndio hapo sasa eti Africafe.

Fide karibu nitakuwa mwenyeji wako,achana na lilyflower kwa sasa yuko uhamishoni..
Mhandisi imekuja kuaje tena dah, cha ajabu leo vitufe vyote havipo hata cha kusign out, siku ya kufa nyani........
Ndo maana hatukumuona huyu jamaa hizo maeneo alizoenda duh huwa haziingiliki weekend

Fide karibu nitakuwa mwenyeji wako,achana na lilyflower kwa sasa yuko uhamishoni..
Zima tuu computer yako au simu yako kwa muda then ukirudi atakuwa kashachoka kukusumbua

Mhandisi imekuja kuaje tena dah, cha ajabu leo vitufe vyote havipo hata cha kusign out, siku ya kufa nyani........
Umeona eeee
Maana kwa Mchungaji kama wewe ulitegemea ngano, kweli vitu viwili tofauti mwanga na giza.
Good idea ngoja nijaribu.
Weekend nzima unaenda Africafe
Hizo sehemu ni za kati kati ya week ambapo watu wana mawazo ya kazi za kesho yake