tulimu noyenda ki iwe?
Hahaha! Pole sana, sipati picha ulivyobaki unakodoa macho lol...kaka hiyo lugha siijui kabisaaaaaaaa!!! umenikumbusha leo ilinibidi niwe mpole maana kutoka Kamachumu hadi bukoba gari zima kuanzia konda, dereva na abiria wooote kasoro mimi walikuwa wanaonge kihaya tu. nakumbuka konda aliongeea kiswahili aliponiomba nauli baada ya kushtukia mie siijui hiyo lugha!! vipi uko huku? na wewe ni nshomile?
Hujui then unajua ipi??? na unawatafuta wa Bukoba iweje km we si wa Huko??kaka hiyo lugha siijui kabisaaaaaaaa!!! umenikumbusha leo ilinibidi niwe mpole maana kutoka Kamachumu hadi bukoba gari zima kuanzia konda, dereva na abiria wooote kasoro mimi walikuwa wanaonge kihaya tu. nakumbuka konda aliongeea kiswahili aliponiomba nauli baada ya kushtukia mie siijui hiyo lugha!! vipi uko huku? na wewe ni nshomile?
Hi Mrs Nitonye....Mtafute na kakako Bishanga msaidiane kumpokea mgeni...
Hahaha! Pole sana, sipati picha ulivyobaki unakodoa macho lol...
Mkuu, wengine kazi zetu inabidi tu uzunguke Tanzania hii kwa sehemu kubwa.. so now nipo huku Bukoba, na usishangae inawezekana nishawahi fika kijijini kwenu ila hujui tu.Hujui then unajua ipi??? na unawatafuta wa Bukoba iweje km we si wa Huko??
Mtafute na kakako Bishanga msaidiane kumpokea mgeni...
Hi Mrs Nitonye....
Sasa wakikutana nitonye na Bishanga kiswahili huwa kinawatoka ghafla, kazi unayo!ila please waambie tuongee kiswahili ama kizungu tu!! halafu Bishanga kona zake ni hatari sana!
kaka hiyo lugha siijui kabisaaaaaaaa!!! umenikumbusha leo ilinibidi niwe mpole maana kutoka Kamachumu hadi bukoba gari zima kuanzia konda, dereva na abiria wooote kasoro mimi walikuwa wanaonge kihaya tu. nakumbuka konda aliongeea kiswahili aliponiomba nauli baada ya kushtukia mie siijui hiyo lugha!! vipi uko huku? na wewe ni nshomile?
Ndio hivyo, ukifanikiwa kukutana nami tutaongea machache ya kiswahili...unamaanisha nipo ukweni kwao?
Ndio hivyo, ukifanikiwa kukutana nami tutaongea machache ya kiswahili...
nimekumiss..
Dah huko nimezunguka sana kaka...mwaka jana nimekuja mara 6...sijafika Ngara tuMkuu, wengine kazi zetu inabidi tu uzunguke Tanzania hii kwa sehemu kubwa.. so now nipo huku Bukoba, na usishangae inawezekana nishawahi fika kijijini kwenu ila hujui tu.
Dah huko nimezunguka sana kaka...mwaka jana nimekuja mara 6...sijafika Ngara tu