- Feb 10, 2006
- 4,324
- 13,967
Wow,
Max... first of all let me congratulate you for keeping your promised, i read sometimes ago that you would be available for Arusha trip. I do also congratulate you for sharing your appreciation for the team you have met... I have had a privilege to meet a number of JF and i think seeing is better than reading, its a team of great people
Kula raha mwana, nakuonea wivu lakini ndo hivyo tena mama chanja nae anahitaji nafasi this festive season
Pole kwa dozi na ombi kwa wanaJF, next step iwe kupima afya na kujiunga na klabu za michezo, who knows, one day we may have our national and international bonanza
I have a dream
Wow,
Max... first of all let me congratulate you for keeping your promised, i read sometimes ago that you would be available for Arusha trip. I do also congratulate you for sharing your appreciation for the team you have met... I have had a privilege to meet a number of JF and i think seeing is better than reading, its a team of great people
Kula raha mwana, nakuonea wivu lakini ndo hivyo tena mama chanja nae anahitaji nafasi this festive season
Pole kwa dozi na ombi kwa wanaJF, next step iwe kupima afya na kujiunga na klabu za michezo, who knows, one day we may have our national and international bonanza.I have a dream
Dada Regia,Nawatakia kila la heri...Nawatamani.
Salimia wote,PakaJimmy,Pretta,Wiselady,MJ1,FL,Matty,Teamo,Kaizer na wengineo...
Uko kwenye dozi,are you sick,ndio maana ukatuzimia simu......
Mkuu,
Japo nilichelewa kufika lakini kina PJ walienda mbugani kwanza kama inavyoonekana kwenye picha hapa chini na ilikuwa ni furaha tupu.
Sasa wakati wa kula mbuzi choma.
Wakuu,
Nipo Arusha sasa hivi na crew ya members wa JF toka Arusha na Dar. Maandalizi ni mazuri sana na maswali mengi yameulizwa na kujibiwa live. Ndo tunapata viburudisho baada ya session ya maswali na majibu ya takribani masaa matatu.
Ni jambo la kufurahisha sana kukutana na watu zaidi ya 20, kwa wakati mmoja ambao hamkuwa mnafahamiana kwa sura.
Kilichonifurahisha zaidi kila mmoja katoa maoni yake na yakachangiwa na wenzake, bahati mbaya nitawaacha kwani nipo kwenye dozi, lakini wana JF wa Arusha nawashukuru kwa moyo wenu huu!
hahaaaaaaaaaa... lets dream about it, who knowshe he,and maybe our national government.:A S crown-1:god bless
Dddaaaaaayyymmmm..... :thumb:
Enjoy while you can buddy... as for me its:A S-cry:... i have missed a great day
Dada Regia,
Hata hivi naandika JF ni kwa makosa, Dr. kanizuia matumizi ya computer na simu sana lakini kwa issue hii niliamua walau niungane na wakuu hawa kuwaonyesha kuwa tupo pamoja katika hili.
Tatizo nitalazimika kuwaacha nikatimize masharti ya Dr.
Please stick to the doctor's prescription though your excited .....Hata hivi naandika JF ni kwa makosa, Dr. kanizuia matumizi ya computer na simu sana lakini kwa issue hii niliamua walau niungane na wakuu hawa kuwaonyesha kuwa tupo pamoja katika hili.
Tatizo nitalazimika kuwaacha nikatimize masharti ya Dr.
Naona umeamua kunitia machungu... sawa bana, we kula raha mie naangalia asenali na chelsiAnd you have missed this either:
mkuu "jicho" acha bana max atupe live from arusha bana, gemu ya asenali na chesi haiwezi fikia utamu wa jamaa wa arushaPlease stick to the doctor's prescription though your excited .
BTW, goodluck and have nice time there with our brothers and sisters.
mkuu "jicho" acha bana max atupe live from arusha bana, gemu ya asenali na chesi haiwezi fikia utamu wa jamaa wa arusha