- Feb 10, 2006
- 4,324
- 13,967
Wakuu,
Nipo Arusha sasa hivi na crew ya members wa JF toka Arusha na Dar. Maandalizi ni mazuri sana na maswali mengi yameulizwa na kujibiwa live. Ndo tunapata viburudisho baada ya session ya maswali na majibu ya takribani masaa matatu.
Ni jambo la kufurahisha sana kukutana na watu zaidi ya 20, kwa wakati mmoja ambao hamkuwa mnafahamiana kwa sura.
Kilichonifurahisha zaidi kila mmoja katoa maoni yake na yakachangiwa na wenzake, bahati mbaya nitawaacha kwani nipo kwenye dozi, lakini wana JF wa Arusha nawashukuru kwa moyo wenu huu!