Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
afadhali kama Tf alikujali akachukua na yako maana alichukua ya preta,loner na WL tu
Umeona eee!! Na ndiyo maana ulichukua yangu mapema bila kunipa yako.
e bwana nitafuttie kimey na Teamo mj1 nawamic kinomi nomi.

Habari zenyu banaaa! Mi bado nna hangover ya arusha jamani jamani!

we derimto mbona unasema usiyokuwa na hakika nayo?we huioni rangi ya saharavoice ilivyodifa na yako?ila PJ ndo anarangi nzuri tatizo ni mweusi mpaka haonekani

Sema FL,umepona uchovu eeh, aisee umeona, PJ dawa ya roho haswaa,halafu huyu Derimto bana anakodoa sana anaona hadi dental structure za watu bana.

Sema FL,umepona uchovu eeh, aisee umeona, PJ dawa ya roho haswaa,halafu huyu Derimto bana anakodoa sana anaona hadi dental structure za watu bana.

Sema nadadavua maukweli au nyie mnataka kuchakachua?

Da na Dar get together ni lini jamani? We need to meet please, since we are legally registered, au watatutupia mabomu wakati siku hizi tu wapole hapa??? I really love and won't stop crying for our former Jambo Furum and early JF???!!!! What happened then???

Nipo kiongozi jana tulikua na Dena Amsi akatuchekesha sana.

Mwambie namtani sana kama vipi mwambie akiwa njia akikaribia Arusha nienda kumchungulia kwa dirishani nitulize roho

Sema nadadavua maukweli au nyie mnataka kuchakachua?

Hapana chakachua hapa, Ila mkuu hakuna njia ya kupunguza au kuibadilisha kabisa hiyo rangi yako ifanane fanane na ile ya PJ kidogo.

Derimto mbona unanichokoza lakini? wakati uisema una moyo wa kike?? Nauhofia moyo yangu bana usijeuvunja bure labda FL akawithdraw ile thread yake bana.

Mzee wa MEMKWA ......................naomba nipate lau nafasi nami nisafiri tena lol nimenogewa.

BAbu Bigirita, mzee wa tekniks maana duh njia nzima alihakikisha anamteka FL kwa malavedave........mara oh FL I love the whole of you, mara oh tuchimbe dawa duh........................
Ama kweli weupe unawapenda lakini weusi ni dawa ya roho

Hapana chakachua hapa, Ila mkuu hakuna njia ya kupunguza au kuibadilisha kabisa hiyo rangi yako ifanane fanane na ile ya PJ kidogo.

Najitahidi kujianika juani ili niandane na mazingira

Nakuja ngoja kwanza nakula babe!

Babe, i love ya. i cant get you out of my head

Hapana chakachua hapa, Ila mkuu hakuna njia ya kupunguza au kuibadilisha kabisa hiyo rangi yako ifanane fanane na ile ya PJ kidogo.

si wenyewe mmemwona jinsi alivyo heartbreaker eeh? sijui LD unamtumia msg za nn na kum'dipudipu' kila dakika. mi unaniboa wewe!

namtafuta lily flower, aliyenionea hii dawa ya roho amwambie the only thing i wont do for her is kill myself coz atanimis sana.

si wenyewe mmemwona jinsi alivyo heartbreaker eeh? sijui LD unamtumia msg za nn na kum'dipudipu' kila dakika. mi unaniboa wewe!

hahahahaaa! kumbe umeliona hilo bana.....nimemwambia ld ahangaike na hmethod hata kama wl ameshaanza kujenga himaya.....angalao awe mpango wa mpito

mkuu....kitu cha dar kipo hai ile mbaya.....kama una nafasi njoo sasa hivi hapa migombani survey....tupo mtu sita, au njoo ordinary place jioni kuanzia saa 11 jioni...sinza jayjay.
if you are motivated, then involve yourself...that simple mkuu. tunapaka macho rangi hapa.

Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…