Wana JF wakutana Arusha

Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
Mtaalam RR naona na kitochi ushamaliza hadi kimekaa upande, dah!!!

Mzee wa memkwa nipo nacheki tyre pressure na kila kitu ili inshallah kesho au keshokutwa asubuhi nikafukuzie mtura pale mkulima na jioni niwe la liga

hawa wapwaz wa warusha wamenitia machungu sana, ntapita Tanga naskia Tanga bichi wana bendi na vidole juu, tukaangalie hina na ma-dera ati'

HA HA HA HA HA HA, Halafu tungejua kumbe tungesimama Tanga tuingie bichi tukaangalie hina na ma-dera maana doh!! nasikia linarushwa ndani kwa ndani kama mpira wa jabulani
 
jamani mimi nasubiri zile number mlizosema mngetuma kwenye pm maana mpaka sasa ni kimya.ila yawezekana ni mimi tu ndio sina kutokana na upole wangu kwani TF na kimei wanazo za wadada wote wa arusha.MJ1 anazo za wakaka wote,pamoja na maty na LD.yaani mimi peke yangu ndo nasubiri mnipm.
'mmmh............kalagabao nikishtuka treni ishafika kigoma'

Kwani haujui kuwa wengi wanaambiwa pole halafu wengine wanaambiwa mbona haukusema au unataka kutapikiwa vipepeo lol!!!!
 
hahaha............haya bana ntafanya nini mie.SV nipm unipe no yako maana uko vere vere.ila lona umenikosha sana yaani ntakuja huko siku itakayohappen mazee ili kama vipi tule chato mdogomdogo mpaka tripple A
 
usiwajali hao loser alikuwa Tf pamoja na kumganda sana lona lakini dalili za wazi zilionesha kwamba kapigwa kiwiko cha uso
.WL ndo alikuwa vere vere kwa kimei mpaka akanikumbuka kama nipo saa sita usiku
Nisaidie kuwaambia, eti mimi nilikuwa looser
 
hahaha............haya bana ntafanya nini mie.SV nipm unipe no yako maana uko vere vere.ila lona umenikosha sana yaani ntakuja huko siku itakayohappen mazee ili kama vipi tule chato mdogomdogo mpaka tripple A

kinaendelea gani hapa kati ya sahara na Fl?
 
Ayaaaaaaaaaa
 
Nipo mototo muzuri likuwa napata mai kitogo kila kitu ni bie sherry nimejaaa tele ila nilikuwa na muingiliano wa mambo lakini nimetulia nakuja kama ifuatavyo ulikuwa mpole sana juzi ulikuwa unatusoma tu wpai mamaaa Fl wa maukweli???? Ambia yeye naumiza mutima yangu

Ha ha ha nilikuwa nalinda usalama wa team ya Dar bana, ndo maana nlitulia na mbege yangu pembeni pale,maana nliona Arusha mmeanza mashambulizi gafla, Saharavoice anajieleza sana kwa Bigrita eti ooh FL bana lkn nakuja Dar,Derimto unatoatoa macho kwa MJI,lakini namshukuru Chipukizi kwa macare coz baridi ilianza kunichakachua akani save.
 
usiwajali hao loser alikuwa Tf pamoja na kumganda sana lona lakini dalili za wazi zilionesha kwamba kapigwa kiwiko cha uso
.WL ndo alikuwa vere vere kwa kimei mpaka akanikumbuka kama nipo saa sita usiku

Oooppss!!! Nilisahau kukwambia nafungua Branch Arachuga nitakuwa naenda mara mbili kwa wiki aisee this trip has been very successful nimeishaongea na watu wa SPECIAL PLACE na MIDWAY kwa ajili ya booking
 
kumbe bado unapumua?me nlijua hujazinduka toka ulivyozima.
sasa we unaona wivu wa nini wakati ulipotaka kupelekwa ukagoma,mie naomba no niwe vere vere,maswali tayari.Bahati haiji mara mbili,SV unamuonaje?
kinaendelea gani hapa kati ya sahara na Fl?
 
Ha ha ha nilikuwa nalinda usalama wa team ya Dar bana, ndo maana nlitulia na mbege yangu pembeni pale,maana nliona Arusha mmeanza mashambulizi gafla, Saharavoice anajieleza sana kwa Bigrita eti ooh FL bana lkn nakuja Dar,Derimto unatoatoa macho kwa MJI,lakini namshukuru Chipukizi kwa macare coz baridi ilianza kunichakachua akani save.

Atiiiiiiiiiiiii!!!! Hivi Chipukizi yuko wapi hebu mtafuteni kwanza
 
Ha ha ha nilikuwa nalinda usalama wa team ya Dar bana, ndo maana nlitulia na mbege yangu pembeni pale,maana nliona Arusha mmeanza mashambulizi gafla, Saharavoice anajieleza sana kwa Bigrita eti ooh FL bana lkn nakuja Dar,Derimto unatoatoa macho kwa MJI,lakini namshukuru Chipukizi kwa macare coz baridi ilianza kunichakachua akani save.

Nshasema acheni uchokozi
 
jamani mimi nasubiri zile number mlizosema mngetuma kwenye pm maana mpaka sasa ni kimya.ila yawezekana ni mimi tu ndio sina kutokana na upole wangu kwani TF na kimei wanazo za wadada wote wa arusha.MJ1 anazo za wakaka wote,pamoja na maty na LD.yaani mimi peke yangu ndo nasubiri mnipm.
'mmmh............kalagabao nikishtuka treni ishafika kigoma'

Namshangaa huyu mwenyekiti ana agenda gani ya siri na hizo no.mwenyewe cna imebidi nitumie akili za uwani.
Halafu haujatusafisha na ile thread yako ya wanaume weupe si una mj1 alivyokaa kimya unanihatarishia usalama wewe
 
Back
Top Bottom