The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Mtaalam RR naona na kitochi ushamaliza hadi kimekaa upande, dah!!!
Mzee wa memkwa nipo nacheki tyre pressure na kila kitu ili inshallah kesho au keshokutwa asubuhi nikafukuzie mtura pale mkulima na jioni niwe la liga
hawa wapwaz wa warusha wamenitia machungu sana, ntapita Tanga naskia Tanga bichi wana bendi na vidole juu, tukaangalie hina na ma-dera ati'
HA HA HA HA HA HA, Halafu tungejua kumbe tungesimama Tanga tuingie bichi tukaangalie hina na ma-dera maana doh!! nasikia linarushwa ndani kwa ndani kama mpira wa jabulani