Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
Poleni na Ma-hang'iover yenu...

Sasa Max anawaita kule mkajadili katiba mpya
 
mi mzima ila hiyo avatar tu kila nikiichek nawaza hiyo mement inatokeaga wakati gani?

Muzee heri ya mwaka mpya sijui kwanini preta ameweka hiyo avatar wakati mimi nimeisharudi kutoka huko Arusha kwenye ile tripu
 
Nilikua kila mahali hapa mjini penye BAR.... Mambo ilikua ni mbaya mno... Wewe vipi ulijificha wapi?

Mimi nilikuwa picnic kijijini...sasa wewe ulikuwa kila mahali..salaleh hiyo mbona hatari? Kwani wewe umekuwa oxygen!
 
avatar calling ujue....

Orait Orait ngoja next time nakuja yaeda chini huko inaonekana kuna mambo mengi ambayo nayakosa btw umenionea WL naona Loner bado ana hangover
 
Atiiii unasemaje hebu rudi tena naona unataka mimi na wewe huu mwaka tuuanze vibaya sasa
 
Orait Orait ngoja next time nakuja yaeda chini huko inaonekana kuna mambo mengi ambayo nayakosa btw umenionea WL naona Loner bado ana hangover

umecheki na Kimey.........maana hakuna hata mmoja wao anayeonekana hapa.....usikute.....!!
 
Orait Orait ngoja next time nakuja yaeda chini huko inaonekana kuna mambo mengi ambayo nayakosa btw umenionea WL naona Loner bado ana hangover

Nyie naona mnatoka sana nje ya mada. ngoja nikawafungulie sredi kule ya kuwasuta. Alah!
 
Atiiii unasemaje hebu rudi tena naona unataka mimi na wewe huu mwaka tuuanze vibaya sasa

hahahahahah lol
imebidi nitafute mwingine kwa sababu lugha yako ni ngumu sana mwaka huu"Floccinaucinihilipilification"
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…