Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
umecheki na Kimey.........maana hakuna hata mmoja wao anayeonekana hapa.....usikute.....!!

Kimey nimemtafuta GUEST zote sijamuona naanza kuwaza kama mwenzetu amerudi huko kimya kimya
 
Kimey nimemtafuta GUEST zote sijamuona naanza kuwaza kama mwenzetu amerudi huko kimya kimya

nimejaribu line zote 9 za WL jana bila mafanikio.....hapa lolote linawezekana
 
Muzee heri ya mwaka mpya sijui kwanini preta ameweka hiyo avatar wakati mimi nimeisharudi kutoka huko Arusha kwenye ile tripu

Na wewe bana heri ya mwaka mpya...labda haukumalizana nae akaamua aweke ad!
 
na wewe bana heri ya mwaka mpya...labda haukumalizana nae akaamua aweke ad!

unajua nilikuwa sijafanya review ya safari ya arusha sasa ngoja nianze kufanya review inawezekana kweli there is unfinished business
 
Mimi nilikuwa picnic kijijini...sasa wewe ulikuwa kila mahali..salaleh hiyo mbona hatari? Kwani wewe umekuwa oxygen!

Afadhali yako ulikua Kijijini hakuna vishawishi zaidi ya MBEGE and CHAKASO... Huku mjini ilibidi niwe oxygen maana kulikua nia ya short supply alafu muda ni kama vili ulikua mdogo...
 
afadhali yako ulikua kijijini hakuna vishawishi zaidi ya mbege and chakaso... Huku mjini ilibidi niwe oxygen maana kulikua nia ya short supply alafu muda ni kama vili ulikua mdogo...

hivi hangover inaweza kuchukua siku mbili kuisha????
 
unajua nilikuwa sijafanya review ya safari ya arusha sasa ngoja nianze kufanya review inawezekana kweli there is unfinished business

Usisahau kuweka matokeo hapa...!
 
Mamito Preta,
I really love your AVATAR.
Naona unaenda na motto ya Mwaka mpya na mambo mapya, alfu hayo mambo yanazidi kua yaki KUBWA...
Jamani sijakuona kabisa weekend hii.... Ulikua mitaa gani??
 
poleni na ma-hang'iover yenu...

Sasa max anawaita kule mkajadili katiba mpya

askofu heri ya mwaka mpya by the way mimi huwa nafuata mwaka mpya wa kanisa sio huu wa kidunia lol!!!!!!
 
Mamito Preta,
I really love your AVATAR.
Naona unaenda na motto ya Mwaka mpya na mambo mapya, alfu hayo mambo yanazidi kua yaki KUBWA...
Jamani sijakuona kabisa weekend hii.... Ulikua mitaa gani??

PRETA nilimuona matongee alikuwa kashika chupa ya Serengeti
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…