The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
umecheki na Kimey.........maana hakuna hata mmoja wao anayeonekana hapa.....usikute.....!!
Kimey nimemtafuta GUEST zote sijamuona naanza kuwaza kama mwenzetu amerudi huko kimya kimya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umecheki na Kimey.........maana hakuna hata mmoja wao anayeonekana hapa.....usikute.....!!
and me think this is very beautiful.....
Kimey nimemtafuta GUEST zote sijamuona naanza kuwaza kama mwenzetu amerudi huko kimya kimya
Muzee heri ya mwaka mpya sijui kwanini preta ameweka hiyo avatar wakati mimi nimeisharudi kutoka huko Arusha kwenye ile tripu
hahahahahah lol
imebidi nitafute mwingine kwa sababu lugha yako ni ngumu sana mwaka huu"Floccinaucinihilipilification"
TENA KWAHIYO LUGHA I JUST WANNA BUILD SOLID BOND IN YOUR HEART, YEAH A SOLID BOND IN YOUR HEART
Sexy, beautiful mhhhhh.......
ur more than welcome to put more words hahahahha lol
na wewe bana heri ya mwaka mpya...labda haukumalizana nae akaamua aweke ad!
Mimi nilikuwa picnic kijijini...sasa wewe ulikuwa kila mahali..salaleh hiyo mbona hatari? Kwani wewe umekuwa oxygen!
ur more than welcome to put more words hahahahha lol
WELL I WILL PUT MORE WORDS IN YOUR HEART
TENA KWAHIYO LUGHA I JUST WANNA BUILD SOLID BOND IN YOUR HEART, YEAH A SOLID BOND IN YOUR HEART
hahahahhahah lol
wewe mmhh huu mwaka unanza vizuri...
afadhali yako ulikua kijijini hakuna vishawishi zaidi ya mbege and chakaso... Huku mjini ilibidi niwe oxygen maana kulikua nia ya short supply alafu muda ni kama vili ulikua mdogo...
unajua nilikuwa sijafanya review ya safari ya arusha sasa ngoja nianze kufanya review inawezekana kweli there is unfinished business
hahahahhahah lol
wewe mmhh huu mwaka unanza vizuri...
Goshhh!!!! Nilipokuwa Arusha nilisahau kukuletea BUSA na MANGUREE
poleni na ma-hang'iover yenu...
Sasa max anawaita kule mkajadili katiba mpya
Mamito Preta,
I really love your AVATAR.
Naona unaenda na motto ya Mwaka mpya na mambo mapya, alfu hayo mambo yanazidi kua yaki KUBWA...
Jamani sijakuona kabisa weekend hii.... Ulikua mitaa gani??
Goshhh!!!! Nilipokuwa Arusha nilisahau kukuletea BUSA na MANGUREE
hahahhaahah lol
mmhh mi nawasi wasi ulikunywa yote...
si unaona jinsi unavyonisahau..
aa bwana niache mie niende kutafuta kwingine...
ulienda huku ukaona wasicha wengine wa KIIRAQ ukapigwa na butwaa..
mi siakujua .
hahhahah lol

Niliwaona lakini nilikuwa kwenye gari kwahiyo i didn't dare hata kushuka you know how faithful i am to you sikutaka kabisa kuingia majaribuni na kuhatarisha penzi letu.
hivi hangover inaweza kuchukua siku mbili kuisha????
nyie naona mnatoka sana nje ya mada. Ngoja nikawafungulie sredi kule ya kuwasuta. Alah!