The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
nishakimbia, nitaibuka baada ya mwezi mmoja tu, mambo vipi lakini!!
Habari yakoo banaa!LOL...we si una mamlaka yote? Neno ufisadi halikuhusu wewe ujue....
LOL...we si una mamlaka yote? Neno ufisadi halikuhusu wewe ujue....
Hahaha kabaila anapogeuka kua mjamaa hapa nadhani note ya elfu kumi inahuu!Ufisadi halinihusu kama ilivyo ukabaila. Mimi ni mjamaa bana.
Forgive me wakuu!Kiongozi raha zilizidi Arusha nikashindwa kuaga kwa kila mtu, lakini tulikusubiri hukutokea mahali nilipokuwa na Saharavoice, nisharudi huku napambana na winter
Hahaha kabaila anapogeuka kua mjamaa hapa nadhani note ya elfu kumi inahuu!
Habari yako elfu kumi!
Hoyeee ten sauzend...Hommie can't wait this day to happen hapa Usalule! Hehehe itakua mupe muruke mupatie...akibisha tunahamisha meza! LolHehehehe...ten sauzend hoyeee! Next safari timu inatia timu usalule. Get prepared hommie.
Hoyeee ten sauzend...Hommie can't wait this day to happen hapa Usalule! Hehehe itakua mupe muruke mupatie...akibisha tunahamisha meza! Lol
Hahaha friends of JJ! LolTutataka nyonyoooooooo!
Happy New Year...!Hepi nyuuu yia 2011 Mabibi na Mabwana!
hepi nyuuu yia 2011 mabibi na mabwana!
Hahaha friends of JJ! Lol
Ufisadi halinihusu kama ilivyo ukabaila. Mimi ni mjamaa bana.
Kutokana na taratibu za JF za kuficha majina yetu halisi, pia inahusisha na SURA zetu!...labda hadi zifanyiwe photoshop kuondoa uhalisia(siyo jibu rasmi!).Ila naomba niulize kitu; Kwa nini picha zimezuiwa zisionyeshwe humu?
Kutokana na taratibu za JF za kuficha majina yetu halisi, pia inahusisha na SURA zetu!...labda hadi zifanyiwe photoshop kuondoa uhalisia(siyo jibu rasmi!).
Ukabaila na wewe ni sawa na daftari na kalamu! Feudalist by nature...
Mimi nililetewa ukabaila hadi wakati niko Arusha mtu yuko via mobile lakini bado akawa analeta ukabaila via mobile