Wana JF wakutana Arusha

Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
Nimesha kua wa the finest... lol... Hii michakato mbona imenipita mimi... Naomba kujua nani amehidinisha...

Shiiiiiiiiiiiiiiiii! Tulia basi mdogo wangu maana anaweza kukukimbia eti maana aliahidi ataleta advance ya mahari
 
Heri ya mwaka mpya Afro! nimekumiss!!

mmmmhhhh KImey hata mie nimeku miss sana tu..
nasikia ulihamia counter ya juu trip hii lol

vipi lakini ??
heri ya mwaka mpya na we pia....
 
We Derimto wewe.....yaani unapishana na mie survey afu hupigi kelele??......una kesi ya kujibu maana unadhihirisha kuwa kweli weye ni hatibreka

Naogopa kuamza kutoa machozi maana napenda kihindi kwa jinsi navyolumiwa na big
 
Habari zenyu wote kwa mpigo Heri ya Mwaka mupya.....
Nimewamiss wote jamani!! Derimto where are you heart braker?:whoo:

Nimejaa tele nafanya uchambuzi wa kuchagua vimwana maridadi kamaMJ1 nakaribia kujenga kibanda huku nikiwapa mabegi yao wenye makelele (vuvuleng) kama FL. Nimegundua huu ni mwaka wa machimbo.
 
Mkuu nimeanza ku-initiate ile transfer yako kama vile katiba mpya ya Tanzania
hahaha wataka kunileata JJ ya ukweli lol wala sitaki! mi bora naona nibaki hivhivi chuma ulete!:bump:
 
mmmmhhhh KImey hata mie nimeku miss sana tu..
nasikia ulihamia counter ya juu trip hii lol

vipi lakini ??
heri ya mwaka mpya na we pia....

Hi AD happy 2011....the st. had missed ya....
Ngoja nikufungie surveillance camera's huu ni mwaka mpya na mambo mpya
Habari yako TF.....hebu nifowadie ripoti ya arusha...
Happy New Year All!!
 
Nimejaa tele nafanya uchambuzi wa kuchagua vimwana maridadi kamaMJ1 nakaribia kujenga kibanda huku nikiwapa mabegi yao wenye makelele (vuvuleng) kama FL. Nimegundua huu ni mwaka wa machimbo.
kaka unaniangusha mpaka leo upo kwenye fisibiliti stadi....ohooo watachakachua wenzako!!:A S-alert1:
 
mmmmhhhh KImey hata mie nimeku miss sana tu..
nasikia ulihamia counter ya juu trip hii lol

vipi lakini ??
heri ya mwaka mpya na we pia....
Counter ya juu ni balaa muulize the Finest analijua hili.
 
Hi AD happy 2011....the st. had missed ya....

Habari yako TF.....hebu nifowadie ripoti ya arusha...
Happy New Year All!!

Muzeee HAPPY NEW YEAR NATUMAINI UMEISHARUDI MUJINI KWA KIFUPI NITAKUPA TU OVERVIEW KABLA YA KUKUPA RIPOTI KAMILI SAFARI ILIENDA VIZURI SANA ILA CHA MSINGI NI KUWA KUNA WANACHAMA AMBAO HAWAKURIDHIKA KWA KUWA HAWAKUWA KWENYE SAFARI KWAHIYO WAMEAMUA KUANZISHA CHAMA CHAO YAANI MEMKWA(MPANGO ENDELEVU MNO KWA WALIOKOSA ARUSHA) IKIONGOZWA NA ACID NA BABU M
 
Halafu wewe na hmethod mna maslahi binafsi nimegundua hilo

Wewe dogo endelea tu kutuna wakunga na uzazi ungalipo utalia ohoooo kwa nza nimeghairi mdogo wangu anaenda shule Australia keshokutwa humpati tena
 
Muzeee HAPPY NEW YEAR NATUMAINI UMEISHARUDI MUJINI KWA KIFUPI NITAKUPA TU OVERVIEW KABLA YA KUKUPA RIPOTI KAMILI SAFARI ILIENDA VIZURI SANA ILA CHA MSINGI NI KUWA KUNA WANACHAMA AMBAO HAWAKURIDHIKA KWA KUWA HAWAKUWA KWENYE SAFARI KWAHIYO WAMEAMUA KUANZISHA CHAMA CHAO YAANI MEMKWA(MPANGO ENDELEVU MNO KWA WALIOKOSA ARUSHA) IKIONGOZWA NA ACID NA BABU M

Overview ninayo bana....
Na niko konektedi na mzee wa MEMKWA aka Tindikali...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom