The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
halafu jana ulikuwa unafanya nini wewe endelea kunisaliti tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesha kua wa the finest... lol... Hii michakato mbona imenipita mimi... Naomba kujua nani amehidinisha...
Heri ya mwaka mpya Afro! nimekumiss!!
Hahaaaa kumbe hafai kama anaonekana macho na meno tu, duh sitaki tena.
Shiiiiiiiiiiiiiiiii! Tulia basi mdogo wangu maana anaweza kukukimbia eti maana aliahidi ataleta advance ya mahari
Heri ya mwaka mpya Afro! nimekumiss!!
halafu jana ulikuwa unafanya nini wewe endelea kunisaliti tu
We Derimto wewe.....yaani unapishana na mie survey afu hupigi kelele??......una kesi ya kujibu maana unadhihirisha kuwa kweli weye ni hatibreka
hahahahah lol
mmmhh mie wala hata....
ni wasiwasi wako tu....
Habari zenyu wote kwa mpigo Heri ya Mwaka mupya.....
Nimewamiss wote jamani!! Derimto where are you heart braker?:whoo:
hahaha wataka kunileata JJ ya ukweli lol wala sitaki! mi bora naona nibaki hivhivi chuma ulete!:bump:Mkuu nimeanza ku-initiate ile transfer yako kama vile katiba mpya ya Tanzania
mmmmhhhh KImey hata mie nimeku miss sana tu..
nasikia ulihamia counter ya juu trip hii lol
vipi lakini ??
heri ya mwaka mpya na we pia....
Habari yako TF.....hebu nifowadie ripoti ya arusha...Ngoja nikufungie surveillance camera's huu ni mwaka mpya na mambo mpya
kaka unaniangusha mpaka leo upo kwenye fisibiliti stadi....ohooo watachakachua wenzako!!:A S-alert1:Nimejaa tele nafanya uchambuzi wa kuchagua vimwana maridadi kamaMJ1 nakaribia kujenga kibanda huku nikiwapa mabegi yao wenye makelele (vuvuleng) kama FL. Nimegundua huu ni mwaka wa machimbo.
Counter ya juu ni balaa muulize the Finest analijua hili.mmmmhhhh KImey hata mie nimeku miss sana tu..
nasikia ulihamia counter ya juu trip hii lol
vipi lakini ??
heri ya mwaka mpya na we pia....
Hi AD happy 2011....the st. had missed ya....
Habari yako TF.....hebu nifowadie ripoti ya arusha...
Happy New Year All!!
ndio mkuu.....ilitangazwa....wiki kama mbili zilizopita
hahaha wataka kunileata JJ ya ukweli lol wala sitaki! mi bora naona nibaki hivhivi chuma ulete!:bump:
Halafu wewe na hmethod mna maslahi binafsi nimegundua hilo
Muzeee HAPPY NEW YEAR NATUMAINI UMEISHARUDI MUJINI KWA KIFUPI NITAKUPA TU OVERVIEW KABLA YA KUKUPA RIPOTI KAMILI SAFARI ILIENDA VIZURI SANA ILA CHA MSINGI NI KUWA KUNA WANACHAMA AMBAO HAWAKURIDHIKA KWA KUWA HAWAKUWA KWENYE SAFARI KWAHIYO WAMEAMUA KUANZISHA CHAMA CHAO YAANI MEMKWA(MPANGO ENDELEVU MNO KWA WALIOKOSA ARUSHA) IKIONGOZWA NA ACID NA BABU M
Counter ya juu ni balaa muulize the Finest analijua hili.