Habari senyu, za asubuhi jamani mi ndio naamka sasa
natamani sana nije nionane na mwana fj hata mmoja tu haiwezekani simfahamu hata mmoja humu ndani!
ila nawapongeza sana wote waliojumuika siku ya leo na kubadilishana mawazo
jamani jamani....laiti ungejua ni nini unakosa pale ambapo hujuani na mwanajf hata mmoja......kimbia haraka ukatafute popote pale alipo mfahamiane
Hujadhamiria...Preta huwezi kuamini simfahau hata mmoja humu ndani kwa sura zaidi ya kuchangia tu najua nakosa mengi ila ipo siku najua nitakuwa pamoja na wana jf sehemu yeyote ile tz
Oyaaaaa!.....U mzima weye?Habari senyu, za asubuhi jamani mi ndio naamka sasa
Oyaaaaa!.....U mzima weye?
Thanx alot dear for being Maty....thanks for your heart...thanx for your decision to join us dear...
Tunajisikia fahari sana kama jambo letu linatoa pia hisia kwa wengine.....
Nipe story za barabarani...Ze Finest hakukuletea uchokozi?..nambie nitamzibiti!
It was all good, we really enjoyed
Pole sana dogo...nilijua lazima ingekuwa hivyo, yale mambo mazito kwako dogo...halafu ni mabo ya eksipiriens!Ha Ha Ha Ha Habari Senyu bana, PK aisee muzee jana nilikuwa kwishnei nimelala kama mzoga
hapo umenena, ila hata kama una bif na mtu huna sababu ya kutokutana kwani ukikutana nae ndio mnaweza kuyamaliza kwa haraka. Samahani kwa swali hili kama utajisikia vibaya, wewe ni mzanzibari? Lugha yako inajieleza kama hukutaniahujadhamiria...
nia ya msingi ya jf si pahala pa kujifichaficha kama kichuguu cha nguchiro..!..ni mahala pa kusocialize, kubadilishana mawazo, kutoa hoja za kisomi na kitaaluma za kusaidia maendeleo ya nchi na kutoa majawabu ya matatizo mbali2 ya kijamii!
hivyo tusione hatari kukutana, unless kama tuna matatizo binafsi ya ugomvi, almaarufu 'bifu', au kama tuna lugha mbaya majukwaani ambazo tunaona tukionekana zitatufanya tuonekane duni..
thats me!
Pole sana dogo...nilijua lazima ingekuwa hivyo, yale mambo mazito kwako dogo...halafu ni mabo ya eksipiriens!
Vipi lakini, uko sawa leo?
habari yake finest??ntakusemesha sun
Wonderful!It was all good, we really enjoyed
hapo umenena, ila hata kama una bif na mtu huna sababu ya kutokutana kwani ukikutana nae ndio mnaweza kuyamaliza kwa haraka. Samahani kwa swali hili kama utajisikia vibaya, wewe ni mzanzibari? Lugha yako inajieleza kama hukutania
It was all good, we really enjoyed
Wonderful!
We are so amused to hear that!
Lakino dogo pia mnatakiwa MTUCHANE kwenye maeneo tuliyochemsha!....:A S-rap:...iam not sure if we did all the thang in a favorable way to each..right?
Posted via Mobile
Uko midway nini?
aaah my boy.....missed you ujue
Ha Ha Ha Ha Habari Senyu bana, PK aisee muzee jana nilikuwa kwishnei nimelala kama mzoga
jana kama sio Kimey na Bigirita......nilikuwa nimeshajiweka kitanzi....kwa kukukosa wewe wallah