Wana JF wakutana Arusha

Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
Habari senyu, za asubuhi jamani mi ndio naamka sasa

Maty baaaiiibee......chinekeeeee......habari za asubuhi ni nzuri....nimefurahi kukuona na sio hivyo tuu.....umenihakikishia kuwa umefika salama
 
natamani sana nije nionane na mwana fj hata mmoja tu haiwezekani simfahamu hata mmoja humu ndani!

ila nawapongeza sana wote waliojumuika siku ya leo na kubadilishana mawazo

jamani jamani....laiti ungejua ni nini unakosa pale ambapo hujuani na mwanaJF hata mmoja......kimbia haraka ukatafute popote pale alipo mfahamiane
 
Preta huwezi kuamini simfahau hata mmoja humu ndani kwa sura zaidi ya kuchangia tu najua nakosa mengi ila ipo siku najua nitakuwa pamoja na wana jf sehemu yeyote ile tz
jamani jamani....laiti ungejua ni nini unakosa pale ambapo hujuani na mwanajf hata mmoja......kimbia haraka ukatafute popote pale alipo mfahamiane
 
Preta huwezi kuamini simfahau hata mmoja humu ndani kwa sura zaidi ya kuchangia tu najua nakosa mengi ila ipo siku najua nitakuwa pamoja na wana jf sehemu yeyote ile tz
Hujadhamiria...
Nia ya msingi ya JF si pahala pa kujifichaficha kama kichuguu cha NGUCHIRO..!..Ni mahala pa kusocialize, kubadilishana mawazo, kutoa hoja za kisomi na kitaaluma za kusaidia maendeleo ya nchi na kutoa majawabu ya matatizo mbali2 ya kijamii!

Hivyo tusione hatari kukutana, unless kama tuna matatizo binafsi ya ugomvi, almaarufu 'bifu', au kama tuna lugha mbaya majukwaani ambazo tunaona tukionekana zitatufanya tuonekane duni..
Thats me!
 
Habari senyu, za asubuhi jamani mi ndio naamka sasa
Oyaaaaa!.....U mzima weye?
Thanx alot dear for being Maty....thanks for your heart...thanx for your decision to join us dear...
Tunajisikia fahari sana kama jambo letu linatoa pia hisia kwa wengine.....
Nipe story za barabarani...Ze Finest hakukuletea uchokozi?..nambie nitamzibiti!
 
Ha Ha Ha Ha Habari Senyu bana, PK aisee muzee jana nilikuwa kwishnei nimelala kama mzoga
 
Ha Ha Ha Ha Habari Senyu bana, PK aisee muzee jana nilikuwa kwishnei nimelala kama mzoga
Pole sana dogo...nilijua lazima ingekuwa hivyo, yale mambo mazito kwako dogo...halafu ni mabo ya eksipiriens!
Vipi lakini, uko sawa leo?
 
hujadhamiria...
nia ya msingi ya jf si pahala pa kujifichaficha kama kichuguu cha nguchiro..!..ni mahala pa kusocialize, kubadilishana mawazo, kutoa hoja za kisomi na kitaaluma za kusaidia maendeleo ya nchi na kutoa majawabu ya matatizo mbali2 ya kijamii!

hivyo tusione hatari kukutana, unless kama tuna matatizo binafsi ya ugomvi, almaarufu 'bifu', au kama tuna lugha mbaya majukwaani ambazo tunaona tukionekana zitatufanya tuonekane duni..
thats me!
hapo umenena, ila hata kama una bif na mtu huna sababu ya kutokutana kwani ukikutana nae ndio mnaweza kuyamaliza kwa haraka. Samahani kwa swali hili kama utajisikia vibaya, wewe ni mzanzibari? Lugha yako inajieleza kama hukutania
 
Pole sana dogo...nilijua lazima ingekuwa hivyo, yale mambo mazito kwako dogo...halafu ni mabo ya eksipiriens!
Vipi lakini, uko sawa leo?

Yah, I am gud niko poa kabisa, i got home around 12 midnight you can imagine tumekutana na foleni ya malori na mabasi ikabidi tukae sehemu hadi foleni iishie
 
It was all good, we really enjoyed
Wonderful!
We are so amused to hear that!
Lakini dogo pia mnatakiwa MTUCHANE kwenye maeneo tuliyochemsha!....:A S-rap:...iam not sure if we did all the thang in a favorable way to each..right?
 
hapo umenena, ila hata kama una bif na mtu huna sababu ya kutokutana kwani ukikutana nae ndio mnaweza kuyamaliza kwa haraka. Samahani kwa swali hili kama utajisikia vibaya, wewe ni mzanzibari? Lugha yako inajieleza kama hukutania

huyu bwana nilikutana nae chuini.......ni mwenyeji wa mwanakwerekwe haswa.......
 
Wonderful!
We are so amused to hear that!
Lakino dogo pia mnatakiwa MTUCHANE kwenye maeneo tuliyochemsha!....:A S-rap:...iam not sure if we did all the thang in a favorable way to each..right?

No man you guys did the right thang and we do appreciate, the happiness and the love that we showed it was endless you could see how everyone was so happy to see each other:whoo:, well without forgetting the food :hungry:was delicious and talking about the music lol!!! you could see it for yourself.
 
jana kama sio Kimey na Bigirita......nilikuwa nimeshajiweka kitanzi....kwa kukukosa wewe wallah

Hahahahaha bora kama hawakunichakachua maana sina imani na Kimey katu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom