Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
No no no...just keep the smiles.......a smile can never be surpassed by a mere trouble....:hat:

(Sijui kwa nini, ila naona unapora madaraka, lol)

(Huyo hana madhara, ni mwanafamilia yetu, yuko kikazi. Smiles amezingirwa kila kona mpaka kieleweke)

(Madhara anayo bana...ila yanavumilika...lol)

(Amin Amin nakuambia, ni heri madhara ya mwenyekiti kuliko matendo ya mabepari, mabwanyenye na makabaila kama bigirita na kimey)

(c.r.a.p)
Mnashtakiwa kwa kosa la kuharibu macho ya mjukuu orijino........... kesi iko mahakama kuu.
Surmons zenu ziko njiani mtazipata kabla ya saa sita mchana.
 
Najisikia kukumisi mjukuu mteule.

...........................Nshafungua kesi.......salamu hizi pitishia kwa lawyers please.

Machalii wa JF Arusha Wing............poleni kwa kashkash. Tuko pamoja
 
Mnashtakiwa kwa kosa la kuharibu macho ya mjukuu orijino........... kesi iko mahakama kuu.
Surmons zenu ziko njiani mtazipata kabla ya saa sita mchana.

Heheeee....
Umesahau babu ana apetait na kesi kama mtikila?:A S 8:
 
...........................Nshafungua kesi.......salamu hizi pitishia kwa lawyers please.

Machalii wa JF Arusha Wing............poleni kwa kashkash. Tuko pamoja

Babu ni mwanasheria wa kujitegemea. Salamu anajipitishia mwenyewe...you have been notified and warned accordingly!
 
.....Aisee mnanipa tabu sana kusoma hayo maandishi kwenye mabano...
Kaizer plz help!! Maana hata my protector-Kimey anashindwa kunisaidia hapo!!
 
.....Aisee mnanipa tabu sana kusoma hayo maandishi kwenye mabano...
Kaizer plz help!! Maana hata my protector-Kimey anashindwa kunisaidia hapo!!

Ntakusomea yote kwa mpigo.....
yanasema wewe ni smiles....
 
Babu ni mwanasheria wa kujitegemea. Salamu anajipitishia mwenyewe...you have been notified and warned accordingly!
Tukikwambia we kabaila unabisha ona sasa unavyopenda vyeo!
 
.....Aisee mnanipa tabu sana kusoma hayo maandishi kwenye mabano...
Kaizer plz help!! Maana hata my LOVE-Kimey anashindwa kunisaidia hapo!!

Aisee...mi ilikuwa bado kujua. Kumbe?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…