Kimey
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 4,117
- 833
Haya rudi mlimani harakaasee wacha kabisa hommie......
!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya rudi mlimani harakaasee wacha kabisa hommie......
Leo nna:A S-heart-2:na babu
Asanteni watu wangu ila Ngastuka machale ngani desa mama muuza pombe leo ametia maji ila niajeni watu wangu pande za wapi Ololo, Ngalelo, Matejo, Kijenge juu ama chini, Mbauda, Miazini ama kwa watoto wa mashavuni Njiro ata nitie timu 2jumuike pamoko?
dont hahahaa me swtyhat........my heart is burning with luv, the love to you and for you.Hahahahah.....
Hebu kamnunulie huyu mtoto ugali utumbo pale Florida wewe.........sisi tuachie tumalizane nae through bluetoothEti nini wewe mbona una wenge hivyo kama ndiyo hivyo na mimi nataka ili nisiseme kwa watu ile siri yako
Hebu kamnunulie huyu mtoto ugali utumbo pale Florida wewe.........sisi tuachie tumalizane nae through bluetooth
Abee!Ntafanya hivyo kwa sharti maoja tu niachie MJ1 wangu maana nimechoka kuishi@ kama dikidiki kwa ajili yako FL ananizungushia majungu ya rangi huku anakung'ang'ania wewe sasa cjui we ni wa rangi gani
Mjukuu hujaitwa waitika haya bana!Abee!
Am watching you. ..dont hahahaa me swtyhat........my heart is burning with luv, the love to you and for you.
mambo ya kwenda PM ya nn bana.........kwani kutongozana watu wanafanyia gesti? si wanaanza hadharani kwanza, then ndo wanaenda gesti!
Chalianguu niaje mdaffanga! Uko maeneo gani selaa niajeniaje maana mi.niko Maeneo ya ungalolo arifu angu kam niaje niteme
Ntafanya hivyo kwa sharti maoja tu niachie MJ1 wangu maana nimechoka kuishi@ kama dikidiki kwa ajili yako FL ananizungushia majungu ya rangi huku anakung'ang'ania wewe sasa cjui we ni wa rangi gani
Abee!
babu yangu Kimey........... nimeitwa na Derimto mpenzi wangu wa December 2010 ndo naitika ati................. pengine ntapata bahati ya kuanza naye 2011................. Derimto baba hebu sogea na kipande hii.Mjukuu hujaitwa waitika haya bana!
babu yangu Kimey........... nimeitwa na Derimto mpenzi wangu wa December 2010 ndo naitika ati................. pengine ntapata bahati ya kuanza naye 2011................. Derimto baba hebu sogea na kipande hii.
Tumeona unabana sana Babu........tutakuja jitambulisha tukiwa na kidhibiti (eidha tumbo au mtoto kabisa)Mjukuu unaweza kuniambia huyo Deri sijui mto ni nani na ana mamlaka gani ya kukuita bila ruhusa ya babu? Sikumbuki kama nshachukua posa wala kishika uchumba.
Tumeona unabana sana Babu........tutakuja jitambulisha tukiwa na kidhibiti (eidha tumbo au mtoto kabisa)
dont hahahaa me swtyhat........my heart is burning with luv, the love to you and for you.
mambo ya kwenda PM ya nn bana.........kwani kutongozana watu wanafanyia gesti? si wanaanza hadharani kwanza, then ndo wanaenda gesti!
Hahahaha nia na madhumuni ni kumshinikiza Babu atoe idhini..........we wafikiri kwa nini Chadema wanaandamana?Kwamba mmeshindwa kuafford zile zinazouzwa 2500, au hazina ladha au mtajisahau tu kwa sababu ya kuchanganyikiwa na mahaba, au hamjali, au hamuogopi au niwashtaki kwa bibi awafunde?
Hahahaha nia na madhumuni ni kumshinikiza Babu atoe idhini..........we wafikiri kwa nini Chadema wanaandamana?
Hahahaha.bahati yako nimepata kigugumizi cha ghafla .........kumbe unamtetea kabaila??!! Una maslahi nini?Sijawahi kusikia kabaila anauza ardhi....
Hahahaha.bahati yako nimepata kigugumizi cha ghafla .........kumbe unamtetea kabaila??!! Una maslahi nini?
Orait...orait nimekuelewa.Nimesema kabaila hauizi ardhi ati.....