Wana JF wakutana Arusha

Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
Kndoni kantoa nazo mkuku........zile chalari zimeiva sasa hivi ntazipikia mbege...
Sasa utakuwa umejifunza.............ukishaitengeneza hiyo mbege uilete tunywe nayo nyonyo paleeeee!!
 
Anyone smelling anything here?
kuna watu ni ma-defender na strikers at the same time..........unazuia huku, unakimbia kule kutafita goal......
lakini nshaona anapenda mipira ya mbali zaidi....no dribble-ling
 
kuna watu ni ma-defender na strikers at the same time..........unazuia huku, unakimbia kule kutafita goal......
lakini nshaona anapenda mipira ya mbali zaidi....no dribble-ling

Morning Biggie....
 
Wewe na ZD mmepotea kabsaa au kila mtu anasali kivyake?

hahaha hommie apo unantafuta ugomvi na hommie Asprin, Shemeji yangu sijui anasomea uaskofu manake kwenye nyumba ya wachungaji mlikmani hayupo kabisa
 
Morning Biggie....
Morning swtyhat............leo najisikia kukupenda balaaa!
nimeona kimey anakuja kasi roho ikaniuma..........and at that moment I knew i am falling for you.
 
Morning swtyhat............leo najisikia kukupenda balaaa!
nimeona kimey anakuja kasi roho ikaniuma..........and at that moment I knew i am falling for you.
Teh teh teh Big bana you want me to go wild sio?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom