Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
Babu The Finest karibu ..........afadhali yako weye unaonyesha caring kwa vitendo duh....hadi Arusha??

Ukiwa na vitega uchumi sehemu halafu pia na maslahi varangati kama la jana lazima uwe na wasiwasi sana inabidi uende kuangalia haraka haraka
 
Hahahahha afu mbona wote Smiles na Bigi mnapost via mobile?? hampo sehemu moja kweli?? hahahahahahahahha

Jamani kwa herini ngoja nikamtulikie mkoloni kwa uadilifu
 
Hahahahha afu mbona wote Smiles na Bigi mnapost via mobile?? hampo sehemu moja kweli?? hahahahahahahahha

Jamani kwa herini ngoja nikamtulikie mkoloni kwa uadilifu

Ssssshhhh..... Usiseme kwa nguvu basi my sis!!!!
Hahhahahah......
 
Hivi umenionea huyo swithat wangu maana nataka nimbadilishe kama nilivyofanya avatar

Yupo ila naona mwaka mpya ameunza vizuri sana zile ishu zake za mwaka jana za kushinda OVYO OVYO GUEST HOUSE ameacha yuko anawafundisha wananchi wa usalule KILIMO KWANZA na utunzaji wa mashamba ya mboga
 
Mjukuu taratibu usije sutwa bure maana hufichi kitu! Babu tineja aliomba pole hakupewa! Ha ha ha kweli mistari ya Big Smiles hawezi hawzi chomoka ndo maana am right here just to protect her na kumpa good direction!
habari yake protection kwa man track..........mimi nalinda na kukagua manually!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…