Kimey
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 4,117
- 833
Swithat nani kakwambia uweke picha yako halisi hujui kuna makabaila humu?Hivi umenionea huyo swithat wangu maana nataka nimbadilishe kama nilivyofanya avatar
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swithat nani kakwambia uweke picha yako halisi hujui kuna makabaila humu?Hivi umenionea huyo swithat wangu maana nataka nimbadilishe kama nilivyofanya avatar
Caring in practise.......analinda mali zake kwa vitendo lol......nimecheka kwa nguvu hadi mkolonikanishangaa.
Yupo ila naona mwaka mpya ameunza vizuri sana zile ishu zake za mwaka jana za kushinda OVYO OVYO GUEST HOUSE ameacha yuko anawafundisha wananchi wa usalule KILIMO KWANZA na utunzaji wa mashamba ya mboga
Swithat nani kakwambia uweke picha yako halisi hujui kuna makabaila humu?
Caring in practise.......analinda mali zake kwa vitendo lol......nimecheka kwa nguvu hadi mkolonikanishangaa.
Swithat nani kakwambia uweke picha yako halisi hujui kuna makabaila humu?
wakati yuko huko huwezi nifanyia namna nichakachue???weka unoko pembeni
Hakuna aliyeniaga back so sijaondoka kwa kuwa sijapata ruhsaWewe si uliaga???
Unoko nitaweka pembeni lakini utajali vipi maslahi yangu kwenye hilo????
Yaani 2011 nipo kikazi zaidi wananchi wananifurahia shamba darasa linaeleweka. Hommie nilindie huyo Wise the lady..si unajua nipo kijijini namtaftia bana.Aisee nasikia umeanzisha somo la SHAMBA DARASA
Babu The Finest karibu ..........afadhali yako weye unaonyesha caring kwa vitendo duh....hadi Arusha??
Sitaki kutumia nguvu nyingi kufanya kazi rahisi!!Hahahahha afu mbona wote Smiles na Bigi mnapost via mobile?? hampo sehemu moja kweli?? hahahahahahahahha
Jamani kwa herini ngoja nikamtulikie mkoloni kwa uadilifu
Yaani 2011 nipo kikazi zaidi wananchi wananifurahia shamba darasa linaeleweka. Hommie nilindie huyo Wise the lady..si unajua nipo kijijini namtaftia bana.
Lol ............sema neno moja tu.........roho yangu ifurahiKama mimi nilivyokufuata Dar ingawwa umekuwa adimu kama jasho la kuku nakujali wewe halafu wala hauniumizi kichwa nimekuletea tucket yako uondoke nchini ukapumzike kidogo bahamas nitafuata baada ya mapambano nataka kurudi arusha niende mstari wa mbele haiwezekani masela,madafanga na machalii wafe nishindwe kuwa nao sambamba
Kama mimi nilivyokufuata Dar ingawwa umekuwa adimu kama jasho la kuku nakujali wewe halafu wala hauniumizi kichwa nimekuletea tucket yako uondoke nchini ukapumzike kidogo bahamas nitafuata baada ya mapambano nataka kurudi arusha niende mstari wa mbele haiwezekani masela,madafanga na machalii wafe nishindwe kuwa nao sambamba
Caring in practise.......analinda mali zake kwa vitendo lol......nimecheka kwa nguvu hadi mkolonikanishangaa.
hahaha!kwani wewe ni mkaguzi au ni marketer?basi tangazia humu humu obuntu apewe kipaumbele