Wana JF wakutana Arusha

Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
mkuu nipo poa sana... nimetoka kifungoni salama red label is back in action, karibu Tanga bana, Tanga raha ati'
Hahaha pole kwa kua lupango...hiyo red label ni sababu nyingine ya kukutana na kujadili kifungo chako!
Yeah Tanga raha c unajua Makorora Twadeka!!
 
we acha tu, nimemualika finest naona anasubiri ruhsa ya mdala
 
mkuu nipo poa sana... nimetoka kifungoni salama red label is back in action, karibu Tanga bana, Tanga raha ati'

vipi tena kiongozi ulitupwa lupango gani ya tanga ama ya hapa hapa:A S-confused1::A S-confused1:
 
kifungo ya masanga mkuu... walinishauri nifunge kunywa hadi mwaka mya uje... sheikh yahya aliniambia nikinywa tu basi mwaka huu ntafilisika
 
Habari yake Kimey from kaunta ya juu...sijui afrodenzi ameshaamka au ameshalala kuna hoja anatakiwa azijibu huku....
Hahaha unataka nyonyooooo! Afro jana nilikua nae counter ya juu! Kapiga tikila then akachanganya na balantine...ikawa shida!! Kalala sa hii ngoja aamke! Hangover ya kufa mtu! Lol
 
hahaha mamboya ten tauzend ntayaweza< ngoja mambo ya MG yanahusu sana hapo hommie! habari yake bana...sasa hapo unemleweshaje mchumba wa mtu nia na madhumuni yalikuwa caring ama sharing lol
 
kifungo ya masanga mkuu... walinishauri nifunge kunywa hadi mwaka mya uje... sheikh yahya aliniambia nikinywa tu basi mwaka huu ntafilisika

uyo tulishamzoeaga, ni mwongo....LOL kinyume chake ndo ukweli
 
I think I'v misplaced it...
but will look for it na kuirudishia sawa eeh....?

Nilikuomba tangu jana ukanibania....ngoja nione kama Acid atakubaliwa. Then I will connect them dots.
 
Hii yaweza kuwa sababu nyingine ya kukunywa biya leo hommie... Wapi Kimey kwa logistics?

hommie beer muhimu sana sijui kama zitanyweka leo huku maana kuna mvua balaa! dah...
 
Hahaha hommie leo ndo cku ya kuleta report ya ulichofikiria! Sababu nyingine ya kunywa bia!
 
Hivi hommie ulishahama Tandale? Au hiyo mvua inanyesha kwa mjombako Mbagala? Si hapa jua linataka kuua mtu asee...
Hahaha hommie leo ndo cku ya kuleta report ya ulichofikiria! Sababu nyingine ya kunywa bia!
We mbona uliondoka bila kuaga...tutalijadili hili asee, yaweza kuwa sababu nyingine.
 
Nilikuomba tangu jana ukanibania....ngoja nione kama Acid atakubaliwa. Then I will connect them dots.

Pole babu.......hiyo hapo ni kwa ajili yako pia!!
Usikasirike eeh.......

Tatizo Acid nilikuwa sijamuona muda mrefu........

Am out! Baadae kidogo....
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom