Hahaha pole kwa kua lupango...hiyo red label ni sababu nyingine ya kukutana na kujadili kifungo chako!mkuu nipo poa sana... nimetoka kifungoni salama red label is back in action, karibu Tanga bana, Tanga raha ati'
we acha tu, nimemualika finest naona anasubiri ruhsa ya mdalaHahaha pole kwa kua lupango...hiyo red label ni sababu nyingine ya kukutana na kujadili kifungo chako!
Yeah Tanga raha c unajua Makorora Twadeka!!
Hahaha nakuaminia Mwenyekiti..,lolyeah..am preparing for a long jump! hommie hahahaha....
mkuu nipo poa sana... nimetoka kifungoni salama red label is back in action, karibu Tanga bana, Tanga raha ati'
Hahaha nakuaminia Mwenyekiti..,lol
kifungo ya masanga mkuu... walinishauri nifunge kunywa hadi mwaka mya uje... sheikh yahya aliniambia nikinywa tu basi mwaka huu ntafilisikavipi tena kiongozi ulitupwa lupango gani ya tanga ama ya hapa hapa:A S-confused1::A S-confused1:
mucho gracias.... Miss ya too
Hahaha unataka nyonyooooo! Afro jana nilikua nae counter ya juu! Kapiga tikila then akachanganya na balantine...ikawa shida!! Kalala sa hii ngoja aamke! Hangover ya kufa mtu! LolHabari yake Kimey from kaunta ya juu...sijui afrodenzi ameshaamka au ameshalala kuna hoja anatakiwa azijibu huku....
dah... sawa bana but it wont be the same aisee, chinese are not cuteI think I'v misplaced it...
but will look for it na kuirudishia sawa eeh....?
Hahaha unataka nyonyooooo! Afro jana nilikua nae counter ya juu! Kapiga tikila then akachanganya na balantine...ikawa shida!! Kalala sa hii ngoja aamke! Hangover ya kufa mtu! Lol
Habari yake Kimey from kaunta ya juu...sijui afrodenzi ameshaamka au ameshalala kuna hoja anatakiwa azijibu huku....
kifungo ya masanga mkuu... walinishauri nifunge kunywa hadi mwaka mya uje... sheikh yahya aliniambia nikinywa tu basi mwaka huu ntafilisika
Hommie hivi leo ni Jumangapi vile?
Even me don't know! Kuishi porini nako shida!!Hommie hivi leo ni Jumangapi vile?
Hii yaweza kuwa sababu nyingine ya kukunywa biya leo hommie... Wapi Kimey kwa logistics?memory yangu imefutka upande wa siku hommie....dah
I think I'v misplaced it...
but will look for it na kuirudishia sawa eeh....?
Hii yaweza kuwa sababu nyingine ya kukunywa biya leo hommie... Wapi Kimey kwa logistics?
Hahaha hommie leo ndo cku ya kuleta report ya ulichofikiria! Sababu nyingine ya kunywa bia!Hii yaweza kuwa sababu nyingine ya kukunywa biya leo hommie... Wapi Kimey kwa logistics?
Hivi hommie ulishahama Tandale? Au hiyo mvua inanyesha kwa mjombako Mbagala? Si hapa jua linataka kuua mtu asee...hommie beer muhimu sana sijui kama zitanyweka leo huku maana kuna mvua balaa! dah...
We mbona uliondoka bila kuaga...tutalijadili hili asee, yaweza kuwa sababu nyingine.Hahaha hommie leo ndo cku ya kuleta report ya ulichofikiria! Sababu nyingine ya kunywa bia!
Nilikuomba tangu jana ukanibania....ngoja nione kama Acid atakubaliwa. Then I will connect them dots.