Wana JF wakutana Arusha

Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
mzima dearest, 2nawashukuru sana kwa mapokez yenu mazuri pamoja na kuwastukiza lakini mme2karimu sana kiukweli 2meinjoy sana sana sana. yaani uko safarini kulikua hakuna kuchokozana kila m2 alikua amechoka. 2nawashukuru na madereva we2 kwa ku2leta na ku2rudisha salama though wote 2lichoka ila wao wamefanya kaz ya ziada hawakupata nafac ya kusinzia mungu awabariki sana
THANX dear!
Mbona unapost via-mobile:redfaces:
 
Next time tutumie helkopta maana wale tembo, mmhh
 
Kama kuna kitu nilikikosa ni hii kitu. Tarehe 27/12 saa 12 asubuhi nawahi zangu A town. Nakaribia KIA gari inazima ghafla! Najitahidi kwa kila hali lakini najagundua kuwa pipe ya mafuta imepasuka. Saa 1.30hivi Paka Jimmy ananitwangia! Du nilitamani kulia maana niliona nnavyoikosa hii trip. Si kwamba sijawahi kwenda Tarangire ila uchungu wa kutokukaa na wanafamilia siku hiyo. Mpaka dogo analeta fundi na spea ni saa saba mchana, hata hamu ya kwenda AR sikuwa nayo tena.

PJ, Preta, Wiselady, Mzee wa Rula, Craswise, Mzee wa Mihela, Mtumishi Wetu na wote hongereni sana kwa kufanikisha shughuli nzima. Mungu akituweka hai basi nawakaribisha kwenye haka kamji kaliko huku jirani na mlima Kilimanjaro. Nitaweka bandiko siku za usoni kuona ni namna gani nitaweza kufanikisha hili.
 
Hongereni sana wadau wa A town na wapambe waliowapa shavu.

Ila kwa hili lazima nikate rufaa...Kuna watu, wengine wanajijua nitawasemea kwa bibi!

Babu DC
 
jamani jamani....laiti ungejua ni nini unakosa pale ambapo hujuani na mwanaJF hata mmoja......kimbia haraka ukatafute popote pale alipo mfahamiane
Wewe binti mbona umenipa wrong number?
 
Hujadhamiria...
Nia ya msingi ya JF si pahala pa kujifichaficha kama kichuguu cha NGUCHIRO..!..Ni mahala pa kusocialize, kubadilishana mawazo, kutoa hoja za kisomi na kitaaluma za kusaidia maendeleo ya nchi na kutoa majawabu ya matatizo mbali2 ya kijamii!

Hivyo tusione hatari kukutana, unless kama tuna matatizo binafsi ya ugomvi, almaarufu 'bifu', au kama tuna lugha mbaya majukwaani ambazo tunaona tukionekana zitatufanya tuonekane duni..
Thats me!

PJ...Una maana huna hang-over ya aina yoyote? Umeamkia upande gani leo?

This is my quote of 2010.

Babu DC!
 
Hongereni sana wadau wa A town na wapambe waliowapa shavu.

Ila kwa hili lazima nikate rufaa...Kuna watu, wengine wanajijua nitawasemea kwa bibi!

Babu DC

babu usinisemee kwa bibi atanichapa c unajua nilitoroka mara moja 2
 
babu usinisemee kwa bibi atanichapa c unajua nilitoroka mara moja 2

Tena wewe, wewe Maty? How could you do this to your babu and bibi?

Sitaki kuongea na wewe hadi 2011!
 
Wonderful!
We are so amused to hear that!
Lakini dogo pia mnatakiwa MTUCHANE kwenye maeneo tuliyochemsha!....:A S-rap:...iam not sure if we did all the thang in a favorable way to each..right?

Kwa nini unataka kujihangaisha na mambo ya namna hiyo? Kama ipo michemsho wadau wataiweka hewani, You played your part and you now need to sit back and relax. Hongera sana mkuu.

Nasubiri kufanya revenge!

DC
 
Kama kuna kitu nilikikosa ni hii kitu. Tarehe 27/12 saa 12 asubuhi nawahi zangu A town. Nakaribia KIA gari inazima ghafla! Najitahidi kwa kila hali lakini najagundua kuwa pipe ya mafuta imepasuka. Saa 1.30hivi Paka Jimmy ananitwangia! Du nilitamani kulia maana niliona nnavyoikosa hii trip. Si kwamba sijawahi kwenda Tarangire ila uchungu wa kutokukaa na wanafamilia siku hiyo. Mpaka dogo analeta fundi na spea ni saa saba mchana, hata hamu ya kwenda AR sikuwa nayo tena.

PJ, Preta, Wiselady, Mzee wa Rula, Craswise, Mzee wa Mihela, Mtumishi Wetu na wote hongereni sana kwa kufanikisha shughuli nzima. Mungu akituweka hai basi nawakaribisha kwenye haka kamji kaliko huku jirani na mlima Kilimanjaro. Nitaweka bandiko siku za usoni kuona ni namna gani nitaweza kufanikisha hili.
Mkuu Eeka Mangi.
Nakuheshimu sana kaka, na unastahili!
Hakika tulikukosa sana, na ukizingatia kuwa wewe ungekuwa mwenyeji wetu mkubwa huko offroad!
Kwakweli tulikuwa tunakuombea sana ufanikiwe kutatua hilo tatizo..lakini huenda Mungu alipanga iwe hivyo.
Usijali Mkuu, safari hii ni kupanda KILIMANJARO...Tuanze kuongelea suala hili mkuu, hebu weka mambo sawa!
Heshima mingi kwako Kiongozi,
EekaMangi!
 
Hongereni sana wadau wa A town na wapambe waliowapa shavu.

Ila kwa hili lazima nikate rufaa...Kuna watu, wengine wanajijua nitawasemea kwa bibi!

Babu DC
Mkuu DC...
Unaheshimika sana broda!

Sisi tumefungua njia (sijui kama niko sahihi hapa)tu, ila we have got a world of opportunities to explore and discover!
Karibu sana mheshimika!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom