Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
Mkuu DC...
Unaheshimika sana broda!

Sisi tumefungua njia (sijui kama niko sahihi hapa)tu, ila we have got a world of opportunities to explore and discover!
Karibu sana mheshimika!

Unajua PJ,

Kuna wajukuu zangu ambao naamini ni royal sana kwa babu yao. Sasa walijua babu katingwa na mambo fulani halafu wakamtoroka. Natamani niwacharaze bakora wote!

Anyway, itabidi wampe maelezo ya kutosha babu yao, vinginevyo atawapandishia vioo hadi 2011! Au wewe unaonaje?

Babu DC
 
Kiongozi,

Watu wa hivyo waadabishe ili siku nyingine wakumbuke kuaga.
Ila mimi nashukuru walifanya hivyo, maana huenda wangekuaga ungezua migogoro ya kibabubabu...mara mgongo unaniuma nahitaji mtu karibu...mara miguu inachoma, abaki mtu wa kuninyanyua, na vitu kama hivyo..
Ni bora hawakukuaga!
 
JF Arusha Family in Tarangire NP
Thanks for the photos mkuu, can i use them to print a few New Year post cards? i may sign the as "courtesy of JF members Tarangire blast"

Please approve this one

they are quite unique and beautiful... i am sure the memories will live with those who were there forever...
 
Hongereni sana wadau wa A town na wapambe waliowapa shavu.

Ila kwa hili lazima nikate rufaa...Kuna watu, wengine wanajijua nitawasemea kwa bibi!

Babu DC
Babu kesho narudi tena Arusha kupeleka mahari hii trip imekuwa succesful PJ,DERIMTO,PRETA,LILY FLOWER watanisaidia kwenye hili
 
Babu kesho narudi tena Arusha kupeleka mahari hii trip imekuwa succesful PJ,DERIMTO,PRETA,LILY FLOWER watanisaidia kwenye hili
dah... kweli mdogo wangu hiyo ndiyo "speed" as defined in social networks, umeanza na kumaliza kazi fasta

ntakupa ng'ombe wa kike wa maziwa kama sapoti ya kuanza maisha mapya ila harusi sichangii:whoo:
 
Mkuu,
Approved.


We thank you for recognizing our unity and encouraging us!...

 

Pole sana brother aika.....hope nxt time tutakuwa wote.
 
Babu kesho narudi tena Arusha kupeleka mahari hii trip imekuwa succesful PJ,DERIMTO,PRETA,LILY FLOWER watanisaidia kwenye hili
Umepata yupi sasa kati ya wale 10?
Maana kila mmoja ana brideprice yake:A S-alert1:..
Yule uliekuwa umekomaa nae du...hawapokei mahari za ng'ombe wale, maana ngombe kwao ni kama sir-god!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…