Wana JF wakutana Arusha

Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
Niliwaona lakini nilikuwa kwenye gari kwahiyo i didn't dare hata kushuka you know how faithful i am to you sikutaka kabisa kuingia majaribuni na kuhatarisha penzi letu.

mmmmhhhhh
i find hard to believe that.....lol
 
Mamito Preta,
I really love your AVATAR.
Naona unaenda na motto ya Mwaka mpya na mambo mapya, alfu hayo mambo yanazidi kua yaki KUBWA...
Jamani sijakuona kabisa weekend hii.... Ulikua mitaa gani??

thank you dear.....babu Asprin alisema atatukagua kwa hiyo nimeona nijilete mwenyewe
hana imani na ile trip...
weekend nilikuwa na saharavoice Duluti.......tuliamua tukapunge upepo wa ile bahari
Happy New Year bana
 
askofu heri ya mwaka mpya by the way mimi huwa nafuata mwaka mpya wa kanisa sio huu wa kidunia lol!!!!!!

Heri ya Mwaka Mpya The Finest...

Sasa..... hiyo hang'over iliyochukua siku mbili imetoka kanisani?
 
Sijui niyafanye CONFIDENTIAL

Nilikwambia manzi za Arusha lazima upate consultation toka kwa wazoefu vinginevyo utalizwa...we yafanyie kazi hayo matokeo bila kutushirikisha then utaona unavyokuja kujilaumu
 
Nilikwambia manzi za Arusha lazima upate consultation toka kwa wazoefu vinginevyo utalizwa...we yafanyie kazi hayo matokeo bila kutushirikisha then utaona unavyokuja kujilaumu

Dah!!! Yaani na wewe umeishaanza kuwa na maslahi binafsi kama Derimto lol!!!!
 
Nilikwambia manzi za Arusha lazima upate consultation toka kwa wazoefu vinginevyo utalizwa...we yafanyie kazi hayo matokeo bila kutushirikisha then utaona unavyokuja kujilaumu

mmmmmhhhhhh
umenipa kitu cha kufikiria..
 
hahahahahah lol
yap snow itakuwepo mpaka kesho lol Global Warming ...
i borea wote turudi TZ ndo mahali penye usalama lol

Dah hapo umeongea jambo la maana sana nataka urudi haraka sana huko hapakufai
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom