Wana JF wakutana Arusha

Wana JF wakutana Arusha

Status
Not open for further replies.
Hahahaha... Mweka hazina akiona hii anazidi kupata hasira!!
hahahahaa! tatizo akishakasirika anagoma kutoa risiti kwa member wapya......anachukua fees anaenda kunywea valuu
 
nasisi tulikuwepo, twatamani hizo salaam
habari yake freetown.............duh, umepotea mkuu!
nikupe kazi ya kunilindia wiselady?.......nita-define KULINDA baadae, maana watu wengine mkiambiwa mlinde mnafanya na ambayo hayahusiani na ulinzi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom