Wana JF waliopo Same,tukutane PADECO tusindikize weekend

Ngaliba Dume

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Posts
1,710
Reaction score
3,681
Nimeingia zangu Same jioni hii,napata mbili moja moto hapa PADECO.Ndio sehemu ya Band Live hapa Same town.Nakula nyimbo za zilipendwa na disco "vumbi" na wanangu wa Mererani.

Mwana Jf aliyeko Same tukutane PADECO weekend hii tule mziki wa "New Padeco Band"....Juamtatu turudi zetu Arusha kuzichanga.

Nb:Tatizo yale mambo yetu siyaoni kabisa hapa!!Vipi wenyeji wangu mpo wapi??
 
Mkuu hapa ni pakame sana yaani!!Siona hata ngamia tu wanaoweza kustahimili jangwa,sasa hao twiga wapenda maji ntawapata kweli???

Sioni kabisa mkuu watoto wa kipare.Naona wazungu wazee tu kwenye dancing floor
Dah kungekuwa na watoto wazuri nisingekawia kuwa hapo nami nipate hata balimi kama zipo
 
Mkuu hapa ni pakame sana yaani!!Siona hata ngamia tu wanaoweza kustahimili jangwa,sasa hao twiga wapenda maji ntawapata kweli???

Sioni kabisa mkuu watoto wa kipare.Naona wazungu wazee tu kwenye dancing floor
Hawa kina mshana jr walivyo wabahili unategemea twiga wanaweza kuja kula majani makavu hapo?

Hivi vijamaa vya upareni ni vibahili kuliko ngosha wetu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…