Ngaliba Dume
JF-Expert Member
- Oct 6, 2010
- 1,710
- 3,681
Nimeingia zangu Same jioni hii,napata mbili moja moto hapa PADECO.Ndio sehemu ya Band Live hapa Same town.Nakula nyimbo za zilipendwa na disco "vumbi" na wanangu wa Mererani.
Mwana Jf aliyeko Same tukutane PADECO weekend hii tule mziki wa "New Padeco Band"....Juamtatu turudi zetu Arusha kuzichanga.
Nb:Tatizo yale mambo yetu siyaoni kabisa hapa!!Vipi wenyeji wangu mpo wapi??