WANA JF WANAOISHI PWANI(COAST)

WANA JF WANAOISHI PWANI(COAST)

PAGAMECO

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Posts
1,206
Reaction score
1,237
Kwa wale wana jF wote Tuliopo Humu Kutoka Mkoa wa Pwani, Kibiti, Ruvu ,Mlandizi,Pangani,Kisarawe,Bwagamoyo,Rufiji Na Kibaha Tukuje hapa tufahamiane.
 
naitwa Iceman
niko Kibiti hapa.
naulizia pia mwenye kujua bei ya bullet proof
[emoji86] [emoji709] [emoji709] kuna Bullet za Ngozi za Wamasai zinapatikana vip Nikuforwadie mkuu
 
Naitwa slim nipo kibiti. Mimi ni DJ wa vigodoro karibuni wateja wote.
 
Mimi nipo Msoga nimestaafu urubani na utumishi wa umma. Nalima mahindi na kucheza na wajukuu tu
Upo na Mheshimiwa mstaafu Jk Mkuu maeneo hayo yapo Vizuri kwa kilimo
 
Back
Top Bottom