Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
kuna habari nimeiona mahali nikaja huku naona hata siioni.kumbe mnaogopa eeh. kuna mtu mwenye vyeti feki humu kwani.?usiku mwema .naona wote mmekimbia mnachungulia toka mvunguni .
ahahaaa
muoga wewe uliyeiona af unakaushakuna habari nimeiona mahali nikaja huku naona hata siioni.kumbe mnaogopa eeh. kuna mtu mwenye vyeti feki humu kwani.?usiku mwema .naona wote mmekimbia mnachungulia toka mvunguni .
ahahaaa
Hatujakuelewa mama. Hebu fafanua kidogo.
Hata we muoga sana ndo maana hutaki uguswe papuchi yako na majamaa wa JF. Kama kweli Jasiri, toa papuchi.
muoga wewe uliyeiona af unakausha
Kwa muoga huenda kicheko....kwa shuja......!
kumbe mnamuogopa jamaa eeh?Miss natafuta unakumbuka ilivyokimbia na chupi ile siku tupo syrus guest house? Alafu unasema wenzio waoga
Nani sasa unadhani wote tumepita kwenye limtandao lako?kumbe mnamuogopa jamaa eeh?
Unamaanisha Makondakta na Mange Kimambi eenh? hivi yule mwanamke anaaminika kwani?kuna habari nimeiona mahali nikaja huku naona hata siioni.kumbe mnaogopa eeh. kuna mtu mwenye vyeti feki humu kwani.?usiku mwema .naona wote mmekimbia mnachungulia toka mvunguni .
ahahaaa
Mashoga? Hao mbona wanatafutwa na Blaza Kigwa?Fafanua tafadhali maana umeandika kama vile upo na mashoga zako kule MMU.
ahahaaa sijui bnaUnamaanisha Makondakta na Mange Kimambi eenh? hivi yule mwanamke anaaminika kwani?
Mtaje mwenye vyeti feki kama wewe sio muoga!kuna habari nimeiona mahali nikaja huku naona hata siioni.kumbe mnaogopa eeh. kuna mtu mwenye vyeti feki humu kwani.?usiku mwema .naona wote mmekimbia mnachungulia toka mvunguni .
ahahaaa
Team marinda O-level alipata div 5, akanunua cheti kwa Paul Ili aendelee Na skuli, akaja fanya mkurabita kwa hiyo cheti kwa kuongeza manyigu/mrenda. Sasa Ni bosi wa karibu Na bosi mkuu kabisakuna habari nimeiona mahali nikaja huku naona hata siioni.kumbe mnaogopa eeh. kuna mtu mwenye vyeti feki humu kwani.?usiku mwema .naona wote mmekimbia mnachungulia toka mvunguni .
ahahaaa
weee mi sipo ahahaaaTeam marinda O-level alipata div 5, akanunua cheti kwa Paul Ili aendelee Na skuli, akaja fanya mkurabita kwa hiyo cheti kwa kuongeza manyigu/mrenda. Sasa Ni bosi wa karibu Na bosi mkuu kabisa
Unalo hili umelianzisha wewe mwenyewe...!weee mi sipo ahahaaa