Wana JF waoga

Wana JF waoga

bora uwe muoga ujasiri usipotee, sasa jifanye jasiri sana siku ujasiri ukikuishia unabaki na uoga wako tu
 
kuna habari nimeiona mahali nikaja huku naona hata siioni.kumbe mnaogopa eeh. kuna mtu mwenye vyeti feki humu kwani.?usiku mwema .naona wote mmekimbia mnachungulia toka mvunguni .
ahahaaa
Mkuu ni hii ya Christian somebody tumeiona kuleeee lakini huku kimyaaa
 
Tatizo kuna watu ni wendawazimu usiwaamini haraka unaweza kukuta anatoa taarifa akiwa amewehuka tayari kama taarifa ingekua imetoka kwenye chanzo cha kuaminika mbona wadau wangekua wameshupalia,ninachoamini dogo kalizua atasakwa mpaka watampata.
 
Ni habari gani hiyo?
 
Ni habari gani hiyo?

Wafukunyuku uko IG wanakomaa conductor anatumia cheti cha mtu cha form IV maana alichezea ziro na mwenyewe yupo TBR uko mtangazaji wa redio flani jamaa kachukua cheti akajiongeza elimu ya juu ila mtoa habari ni yule dada ambae akili zake zinaendaga likizo mara nyingi na kuna hashtag ya 'tuhakiki vyeti'
 
Hatujakuelewa mama. Hebu fafanua kidogo.

Hata we muoga sana ndo maana hutaki uguswe papuchi yako na majamaa wa JF. Kama kweli Jasiri, toa papuchi.
Shuuleni tulikuwa tunasema o.p

Sizonjemadawa
 
Wafukunyuku uko IG wanakomaa conductor anatumia cheti cha mtu cha form IV maana alichezea ziro na mwenyewe yupo TBR uko mtangazaji wa redio flani jamaa kachukua cheti akajiongeza elimu ya juu ila mtoa habari ni yule dada ambae akili zake zinaendaga likizo mara nyingi na kuna hashtag ya 'tuhakiki vyeti'
Duuh ni noma sana... Ha haa Tz kila kitu kinawezekana
 
Back
Top Bottom