Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Hata akikaa mwaka mkuu,
Tutamlinda...jeshi la ardhini liko fiti kupita maelezo...
Halafu unajua nini....tunataka kuwa na Ta wingi nzito kupita A- wingi....
Subiri mtaona....
Babu DC!!
nimelipenda sana hilo wazo lenu. Hongereni sana!
Eheee......!Mmeanza, mmeanza, mmeanza.
Aliyewaalika mchungulie nani?
Eti wengine wakajipendekeza kumpaka sijui mananihino gani, sijui ma-vicks na dawa ya panya, tulipofika Duga-Mwembeni alizifutilia mbali zote.
sawa hakuna tatizo nimeupokea mwaliko Filipo
Jamani mnamwonaje Blaki Womani, a.k.a MKEMIA MKUU [chanzo: Preta], kwa jinsi alivyokuwa makini kudhibiti bili aka invoices?
Aliniacha hoi alipogundua mara mbili mbinu za Ufisadi pale Nyinda na kule Seaside! Community Centre kwa Sister Maria-Salome?
Tumpe zawadi gani?
Jamani mnamwonaje Blaki Womani, a.k.a MKEMIA MKUU [chanzo: Preta], kwa jinsi alivyokuwa makini kudhibiti bili aka invoices?
Aliniacha hoi alipogundua mara mbili mbinu za Ufisadi pale Nyinda na kule Seaside! Community Centre kwa Sister Maria-Salome?
Tumpe zawadi gani?
Thanks Arabela for being our super guide at the very right time!
We'll never forget the adventure we participated together!
Ahsanteni sana!
Taratibu kamanda!
Hivi umeshaamka au ndo unasubiri nguo zikauke?
Na itabidi tupeane zamu za kusubiria hilo basi hadi lifike Arusha, maana anaweza akashuka na kuingia kwenye basi linaloondoka jioni Arusha kwenda Tanga linaloitwa BAZZU.
Pole mkuu Mwanyasi kama umepigwa chenga....
Makamba sen. aliwahi kumweleza Mkapa kuwa,.. kule kwao usambaani wana msemo kwamba, ..ukifuga mbwa basi wewe mwenyewe hutakiwi kubweka kwa kuwa mbwa wako wanabweka.. Ila mbwa wakishindwa kubweka, basi wewe mwenye mbwa ndo unajitosa kubweka.
Sasa mie mmenitoa kimasomaso kiasi kwamba sikuwa na haja yoyote ya kubweka.....
Mmefanya kazi nzuri sana na Mungu awabariki,
Cc.. KOKUTONA, Arabela.....na wa wadau wengine wote!!
Asante kwa kushkuru Mwaya.
Ile ndio profeshno inayoniweka mjini mwenziyo.