Wana JF waondoka Tanga (Safiri salama)

Wana JF waondoka Tanga (Safiri salama)

Hata akikaa mwaka mkuu,

Tutamlinda...jeshi la ardhini liko fiti kupita maelezo...

Halafu unajua nini....tunataka kuwa na Ta wingi nzito kupita A- wingi....

Subiri mtaona....

Babu DC!!

wazo zuri babu kila la heri
 
nimelipenda sana hilo wazo lenu. Hongereni sana!


Wewe subiri utaona....

Mwenyekiti.. Mwanyasi..

Katibu...Mama wa nguvu KOKUTONA..

Mtunza mafweza....toto la haja.. Arabela (hapa mjifanye kama vile aliyeyasema siyo Babu)!!

Timu nzima ikiwa na akina YNNAH na wengine..

Washauri....Babu DC na wale wangine ambao nimeamua kuwaweka kapuni kwa sasa!!

Mtasoma namba nyie wa A - wing...lol!!


Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
usihangaike na Mwanyasi! Fikiria vizuri yale tuliyoongea na uyafanyie kazi! Usisahau kuwa mimi ndiye nitakupokea utakapofika Arusha!

sawa hakuna tatizo nimeupokea mwaliko Filipo
 
Last edited by a moderator:
Mmeanza, mmeanza, mmeanza.
Aliyewaalika mchungulie nani?
Eti wengine wakajipendekeza kumpaka sijui mananihino gani, sijui ma-vicks na dawa ya panya, tulipofika Duga-Mwembeni alizifutilia mbali zote.
Eheee......!
Mie nilikaa sea ya nyuma nikawa naichek tu movie mwanzo mwisho. Filipo alisema kabisaa lile chenga la macho!
 
Last edited by a moderator:
Jamani mnamwonaje Blaki Womani, a.k.a MKEMIA MKUU [chanzo: Preta], kwa jinsi alivyokuwa makini kudhibiti bili aka invoices?

Aliniacha hoi alipogundua mara mbili mbinu za Ufisadi pale Nyinda na kule Seaside! Community Centre kwa Sister Maria-Salome?
Tumpe zawadi gani?

They are real smart...........! No joke!
 
Jamani mnamwonaje Blaki Womani, a.k.a MKEMIA MKUU [chanzo: Preta], kwa jinsi alivyokuwa makini kudhibiti bili aka invoices?

Aliniacha hoi alipogundua mara mbili mbinu za Ufisadi pale Nyinda na kule Seaside! Community Centre kwa Sister Maria-Salome?
Tumpe zawadi gani?

tumpe kisses Mwaaah mwaaah
 
Last edited by a moderator:
Thanks Arabela for being our super guide at the very right time!

We'll never forget the adventure we participated together!


Ahsanteni sana!

yeah we were together all time kushoto wewe kulia watu8 yani katikati. Acha nijiripue liwalo na liwe
 
Last edited by a moderator:
yeah we were together all time kushoto wewe kulia watu8 yani katikati. Acha nijiripue liwalo na liwe

Kumbe kile kimya chako ulikuwa unatunga sheria ya kukuweka kati wale vijana!
Kweli maji ya ukuli nouuuma
 
Na itabidi tupeane zamu za kusubiria hilo basi hadi lifike Arusha, maana anaweza akashuka na kuingia kwenye basi linaloondoka jioni Arusha kwenda Tanga linaloitwa BAZZU.

mwaogopa isije ikawa tungelijua nyingi
 
Pole mkuu Mwanyasi kama umepigwa chenga....

Makamba sen. aliwahi kumweleza Mkapa kuwa,.. kule kwao usambaani wana msemo kwamba, ..ukifuga mbwa basi wewe mwenyewe hutakiwi kubweka kwa kuwa mbwa wako wanabweka.. Ila mbwa wakishindwa kubweka, basi wewe mwenye mbwa ndo unajitosa kubweka.

Sasa mie mmenitoa kimasomaso kiasi kwamba sikuwa na haja yoyote ya kubweka.....

Mmefanya kazi nzuri sana na Mungu awabariki,

Cc.. KOKUTONA, Arabela.....na wa wadau wengine wote!!

yap yap kwanini Babu Dc upate tabu wakati nguvu kazi ipo?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom