Lily Flower
JF-Expert Member
- Oct 16, 2009
- 2,553
- 1,199
Kwa kiswahili tunaita tipu Mwanyasi.Viajana wa migodini nyie mnachapaa mbaya......
We Paka Jimmy hadi unaacha chenji?
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kiswahili tunaita tipu Mwanyasi.Viajana wa migodini nyie mnachapaa mbaya......
We Paka Jimmy hadi unaacha chenji?
Now i can understand you! Taratibu tutamalizia sehemu iliyobaki!
Fani yako inakuruhusu Mkuu
Utupe namba za simu za konda na dereva Mwanyasi.Na wakimpata wamkabidhishe kwa Dereva na konda asishuke popote had mwisho wa gari.
Kwa kiswahili tunaita tipu Mwanyasi.
Kwa kiswahili tunaita tipu Mwanyasi.
Khaaa! Shindwa pepo!Waaoh!
Mkubwa sana Mwanyasi.
Mimi nilipokuwa natazama avatar yako nilikuwa nahisi mkuu huongeagi na watu!
Bt kila kitu kimekuja kuprove very wrong baada ya kuonana.
Mkuu unastahili kila sifa ya kugombea Ukatibu wa kundi la Tanga-Wing, japokuwa KOKUTONA ameahidi kuwa yuko tayari kuyanywa maji ya kule Pangani ili asafishe nyota na kuitwaa nafasi hiyo ya ukatibu...lol!
Mkuu pokea sifa kemkem, na ili kukuonyesha shukran wana -ArushaWing wameamua kwa kauli moja kukupa ofa ya One Night Stand na sweetlady pale Seaside Community Centre, kwa Sister MariaSalome!
Bili zote ziwe directed kwa account yetu iliyopo Meridian Biao Bank.
Halafu nimekumiss.
Mimi pamoja na Kipipi tunawatakia safari njema!
Mungu awatangulie mfike salama!
Hahahahaha! Umewahi kumuona Mungi akipandisha mori wewe? Shaurilo!Ha ha ha PakaJimmy bana, usione ukadhani.....!
Avatar isikutishe, mie napenda dana movies, huyu jamaa yupo smart sana, kama alivyo Preta (avatar - kucheza)
Ukatibu......... time will tell, KOKUTONA hakuwa na haja ya kunywa yale maji kwa ajili hiyo maana anafaa kabisa.
Mie labuda kutunza mabo ya fwedha.
Huyu sweetlady tena nina hamu nae sana, mimi simuogopi Mungi kama nitonye.