Wana JF waondoka Tanga (Safiri salama)

Wana JF waondoka Tanga (Safiri salama)

mbona hukunicalll????????
Mmeshafika arusha??
Wamefika zamani sana! Lunch tumepata nao , afu mbona Filipo amekuja na njaa sana? Yaani amebugia misosi utadhani yupo darfur.
 
Last edited by a moderator:
Tunashukuru sana mkuu Mwanyasi sisi watu wa Dar (Smile, Madame B nami watu8) ndio twaingia mjini sasa....

Tanga tutarudi tena!
Aaah wapi, ungejua vile mama ana hasira na wewe usingeahidi kurudi tena tanga!

Afu mwanao nimeachika toka jana.
 
Last edited by a moderator:
Wamefika zamani sana! Lunch tumepata nao , afu mbona Filipo amekuja na njaa sana? Yaani amebugia misosi utadhani yupo darfur.

nimekutana na kaubaridi ikabidi ni adjust. Usiogope!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
nilikutana na binti Mzuri wa sura na tabia, mrembo wa kupendeza mwenye rangi ya kiiraq! Ningekutafuta ungenipotezea timing! Uzuri tumekubaliana na atakuja Arabela Arusha soon.

yeah huo ndo ukweli jamani amekutana na Arabela
 
Last edited by a moderator:
Naomba niwajulishe kuwa sote tupo majumbani muda huu.
Filipo yuko kwake Ikiding'a.
marejesho kwake Engosheratoni
Preta kama kawa Matevez Blaki Womani Mirongoine.
werawera City centre.
Lily Flower Njiro kwa Msola
Arushaone Moshono.
P.J Jirani na TRA -Arusha.


Ahsante sana kwa taarifa mkuu PakaJimmy,


Ni jambo la kumshukuru Mungu kwa kufika salama na pia jeshi la ardhini lote liko salama...kila mtu kasalimika...!!

Natumia nafasi hii kuwakaribisha waheshimiwa sana teacher gfsonwin na LiverpoolF watupigie sala ya shukrani!

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Ahsante sana kwa taarifa mkuu PakaJimmy,


Ni jambo la kumshukuru Mungu kwa kufika salama na pia jeshi la ardhini lote liko salama...kila mtu kasalimika...!!

Natumia nafasi hii kuwakaribisha waheshimiwa sana teacher gfsonwin na LiverpoolF watupigie sala ya shukrani!

Babu DC!!

babu kabla ya yote je memba wa dar wameshafika?
halafu nashukuru ule uzi wa picha umetolewa at least tumethubutu
 
babu kabla ya yote je memba wa dar wameshafika?
halafu nashukuru ule uzi wa picha umetolewa at least tumethubutu


Kwa taarifa nilizonazo, wote wameshafika....

Ushahidi ni post No.216 toka kwa Madame B

Kuhusu ule uzi wa picha za hovyo, hata mimi nimefurahi kwamba umepigwa chini!!

Babu DC!!
 
haya basi babu Dark City napenda kuchukua muda huu kumshukuru Mungu kwaajili ya ukuu wake ambao haukupunguka na wala hakutuacha yatima.

tusali
Mungu baba mwenyezi wewe uketiye juu sana mahali palipo inuka. Tunakushukuru sana kwani ulikuwa upande wetu katika safari ya Tanga na hakika hakuna kilicho kuwa juu yetu. si ajali, wala uharibifU, wala mauti vilivyowasogelea wenzetu waliosafiri na hata waliporudi majumban kwako.Hakika leo tunakushukuru sana kwa wema wako huu na kwamba wewe hukuwa na sikio zito ili kutusikia wala mkono wako haukuwa mzito ili kutuokoa.

kipekee kabisa tunaomba upendo uliopo katikati yetu uudumu daima na kristo Yesu akae katikati yetu na pendo lake. sifa na utukufu tunakurudishia wewe bwana,

AMEN.
 
Last edited by a moderator:
Wewe subiri utaona....

Mwenyekiti.. Mwanyasi..

Katibu...Mama wa nguvu KOKUTONA..

Mtunza mafweza....toto la haja.. Arabela (hapa mjifanye kama vile aliyeyasema siyo Babu)!!

Timu nzima ikiwa na akina YNNAH na wengine..

Washauri....Babu DC na wale wangine ambao nimeamua kuwaweka kapuni kwa sasa!!

Mtasoma namba nyie wa A - wing...lol!!


Babu DC!!

A- Wing haina mshindani labda wale wengine
CC Madame B na watu8
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom