Wana JF waondoka Tanga (Safiri salama)

Wana JF waondoka Tanga (Safiri salama)

haya basi babu Dark City napenda kuchukua muda huu kumshukuru Mungu kwaajili ya ukuu wake ambao haukupunguka na wala hakutuacha yatima.

tusali
Mungu baba mwenyezi wewe uketiye juu sana mahali palipo inuka. Tunakushukuru sana kwani ulikuwa upande wetu katika safari ya Tanga na hakika hakuna kilicho kuwa juu yetu. si ajali, wala uharibifU, wala mauti vilivyowasogelea wenzetu waliosafiri na hata waliporudi majumban kwako.Hakika leo tunakushukuru sana kwa wema wako huu na kwamba wewe hukuwa na sikio zito ili kutusikia wala mkono wako haukuwa mzito ili kutuokoa.

kipekee kabisa tunaomba upendo uliopo katikati yetu uudumu daima na kristo Yesu akae katikati yetu na pendo lake. sifa na utukufu tunakurudishia wewe bwana,

AMEN.


Amen Amen,

Ahsante sana teacher gfsonwin,

Tunasubiri trip ijayo.....itakuwa wapi??

Babu DC!!
 
Last edited by a moderator:
Sema UKWELI sio umbeya

Kwani wewe ulikuwepo ..............khaaaaaaaaaaaa.............
Au unahitaji Msuto???????????
IMG_1661.JPG
 
Back
Top Bottom