Aaahh Wapi huy huy Muongo Muongo alaf story zake haziiishagi, Ana Viporo vingi humujerrybanks ni muha sio muongo ila ndio asili yake kuwa na maneno mengi
Zero IQ mzee wa kiepe,Humu kuna watu hutupia uzi za ukweli kabisa,hata kama kuna uongo sawa lkn una tija,lakini sasa kuna wale kila kukicha wana vihadithi visivyo na kichwa wala miguu...sound na uongo uongo tupu ili mradi tu aonekane humu,kwa siku hata uzi tatu anatupia basi tafrani tupu...
Mfano kwangu ni Zero IQ na 5997. Hebu ongeza wengine uwajuao nasi tuwajue,itasaidia unafungua uzi wake,unasoma tu unasepa.
naona unamtetea wa nyumbani
Anayeamini stori za jerybanks inabidi achunguzwe uchochezi