Pia kuna dogo mwingine alipatwa kuitwa GENTAMYCINE.. Tulimkanya akatuelewa wakubwa zake.Humu kuna watu hutupia uzi za ukweli kabisa,hata kama kuna uongo sawa lkn una tija,lakini sasa kuna wale kila kukicha wana vihadithi visivyo na kichwa wala miguu...sound na uongo uongo tupu ili mradi tu aonekane humu,kwa siku hata uzi tatu anatupia basi tafrani tupu...
Mfano kwangu ni Zero IQ na 5997. Hebu ongeza wengine uwajuao nasi tuwajue,itasaidia unafungua uzi wake,unasoma tu unasepa.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Zero IQ mzee wa kiepe,
Huyu majanga yake ni kama pimbi wa kwenye gazeti la sani
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu acha u........... Unaweza ukaonesha uongo wangu upo kwenye nyuzi gani.
Missing you badlyKuna equation x sijui[emoji134][emoji134][emoji134]
Me too darling, how are you?Missing you badly
Mkuu ulikuwa unamaanisha Cute love au Cute b?.
Am gud babe!Me too darling, how are you?
Pia kuna dogo mwingine alipatwa kuitwa GENTAMYCINE.. Tulimkanya akatuelewa wakubwa zake.
Nilikumiss rafiki, kuna aliyeanzisha thread hapa kuwa unakula maharage na dagaa kule 5* Hotel Keko au Segerea.Katika Lugha ya Kiswahili ukisema alipatwa unamaanisha labda hakipo tena Duniani.Je,huyo uliyemtaja hapo ulishatangaziwa kuwa kuwa hayuko tena Ulimwenguni?
Nilikumiss rafiki, kuna aliyeanzisha thread hapa kuwa unakula maharage na dagaa kule 5* Hotel Keko au Segerea.
Dogo ulikula ban nini? Tulimiss sana pumba zakoKatika Lugha ya Kiswahili ukisema alipatwa unamaanisha labda hakipo tena Duniani.Je,huyo uliyemtaja hapo ulishatangaziwa kuwa kuwa hayuko tena Ulimwenguni?