Wana-JF waongo waongo/sound sound

Wana-JF waongo waongo/sound sound

Humu kuna watu hutupia uzi za ukweli kabisa,hata kama kuna uongo sawa lkn una tija,lakini sasa kuna wale kila kukicha wana vihadithi visivyo na kichwa wala miguu...sound na uongo uongo tupu ili mradi tu aonekane humu,kwa siku hata uzi tatu anatupia basi tafrani tupu...

Mfano kwangu ni Zero IQ na 5997. Hebu ongeza wengine uwajuao nasi tuwajue,itasaidia unafungua uzi wake,unasoma tu unasepa.
Pia kuna dogo mwingine alipatwa kuitwa GENTAMYCINE.. Tulimkanya akatuelewa wakubwa zake.
 
Pia kuna dogo mwingine alipatwa kuitwa GENTAMYCINE.. Tulimkanya akatuelewa wakubwa zake.

Katika Lugha ya Kiswahili ukisema alipatwa unamaanisha labda hakipo tena Duniani.Je,huyo uliyemtaja hapo ulishatangaziwa kuwa kuwa hayuko tena Ulimwenguni?
 
Katika Lugha ya Kiswahili ukisema alipatwa unamaanisha labda hakipo tena Duniani.Je,huyo uliyemtaja hapo ulishatangaziwa kuwa kuwa hayuko tena Ulimwenguni?
Nilikumiss rafiki, kuna aliyeanzisha thread hapa kuwa unakula maharage na dagaa kule 5* Hotel Keko au Segerea.
 
Nilikumiss rafiki, kuna aliyeanzisha thread hapa kuwa unakula maharage na dagaa kule 5* Hotel Keko au Segerea.

Binadamu Kusemwa, Kusingiziwa, Kuzushiwa, Kuchukiwa na Kudhalilishwa ni sehemu ya Maisha yake na Binafsi wala sishangai. Tatizo siyo hii ID bali ni vile Vitu adimu vilivyopo ndani yake kama......

Purely Talented

Charismatic Fella
Game Changer

Entertainer

Asante kwa taarifa.
 
Katika Lugha ya Kiswahili ukisema alipatwa unamaanisha labda hakipo tena Duniani.Je,huyo uliyemtaja hapo ulishatangaziwa kuwa kuwa hayuko tena Ulimwenguni?
Dogo ulikula ban nini? Tulimiss sana pumba zako
 
Halafu mijitu miongo miongo na mimbea mimbea na mizembe mizembe inaishi maisha safi halafu free from migonjwa isiyoambukiza kama pressure.
 
Back
Top Bottom